naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
ukuti ukuti wa meme
mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa
na nini na nini na gari na gari
Sisi tuliimba hivi: ukuti ukuti wa mnazi wa mnazi ukiingia upepo wa tetema. mlipokuja nyie wa analog mkachanganya nyimbo mbili kwa moja kimbuzi na ukuti na wote mliimba hivyo hawa wa .com wanamjua tom n' jerry