Hivi huu mchezo bado upo?

Hivi huu mchezo bado upo?

ukuti ukuti wa meme
mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa
na nini na nini na gari na gari
 
Mafulugalaa mafulagalaa....alelalela koombaa.., bibii kanya bwela, tumbo , kamsokota katumbaku bwila!!
 
Siku hizi sioni kabsa watoto wakicheza hii kitu, hata komborea a.k.a hide n seek.
Watoto wa kipindi hiki wanakosa mambo mengi sana

Watoto wa katuni + play station
 
Ukichanganya michezo yote hiyo ya utotoni na mfumo wa maisha tulipotea ndio maana bongo za kizazi hicho zilikuwa safi katika umeri mdogo yaani mtu ana miaka 8 anatumwa mjini kununua vitu na anarudi bila wasiwasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom