sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,851
- 11,438
Kwani kuwa mchawi napo ni kuokoka?
Kwani kuwa mchawi napo ni kuokoka?
Mmmh hiyo avatar na unayoyasema wala hayaendaniNaam Mimi ni Mwinjilist na mchungaji pia karibu
Mbona michango mingi tumetoa? Angalia nyuzi za kiranga na atheism nkWachungaji na masheikh wapo humu ila shetani amezidi nguvu.
Hata huko mtaani si wapo? Mbona maovu yamejaa