Hivi humu JF kuna wachungaji?

Hivi humu JF kuna wachungaji?

Wapo ila kwa tabia za humu huwezi wajua...

Huyo unayedhania anahitaji malezi ya kiroho, usikute ndiyo mchunganji mweyewe, sema tu kwa sababu ya Fake identity hatutambuani...

cc: mahondaw
 
tehe tehe tehe hivi kweli wapo?
maana kuna wakati hali ya hewa inaaribika humu mpaka basi
 
Back
Top Bottom