Hivi humu JF kuna wachungaji?

Hivi humu JF kuna wachungaji?

Wakuu,
Hivi humu jukwaani kuna wachungaji wa kikristo kwa ajili ya kuwalea wana JF kiroho?

Kuna muda ninahisi kwa hali ilivyo humu hasa nikiangalia michango ya wana JF ,kabisa naona malezi ya kiroho yanahitajika.

Wachungaji wapo humu jamani...!?
Tupo chamaDola, kama unachchte tueleze au tushauri
 
Wakuu,
Hivi humu jukwaani kuna wachungaji wa kikristo kwa ajili ya kuwalea wana JF kiroho?

Kuna muda ninahisi kwa hali ilivyo humu hasa nikiangalia michango ya wana JF ,kabisa naona malezi ya kiroho yanahitajika.

Wachungaji wapo humu jamani...!?
Tupo wengi tu karibu jukwaa la dini kuna mafundisho mengi mazuri na yenye kujenga kiroho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashindwa kuwaombea sababu ID fake na avatar nyingine hatari sana cc. Shushushu vip.
 
Wakuu,
Hivi humu jukwaani kuna wachungaji wa kikristo kwa ajili ya kuwalea wana JF kiroho?

Kuna muda ninahisi kwa hali ilivyo humu hasa nikiangalia michango ya wana JF ,kabisa naona malezi ya kiroho yanahitajika.

Wachungaji wapo humu jamani...!?
Wapo, lakini hujawahi kusikia jambazi fulani au kijana fulani mwenye tabia fulani mbaya ni mtoto wa Mchungaji! Suala ni malezi.
 
Back
Top Bottom