Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
878
Reaction score
1,147
Salam Alaykum, niko hapa tangu 2020, lakini sijabahatika kukutana na jukwaa hilo ili nijaribu kuuliza mambo mbalimbali kuhusiana na dini ga uislamu.

Nilikua napendekeza jukwaa hilo lianzishwe, au linakiuka protocal za JF?

Wasalaam,
 
Salam Alaykum, niko hapa tangu 2020, lakini sijabahatika kukutana na jukwaa hilo ili nijaribu kuuliza mambobalimbali kuhusiana na dini ga uislamu.
Nilikua napendekeza jukwaa hilo lianzishwe, au linakiuka protocal za JF?

Wasalaam,

Nyie ndo mnafanya sisi sote tuonekane vilaza hatuna elimu. Kama mnataka jukwaa la kiislamu anzisheni group lenu. Kuna Jukwaa la Dini halitoshi sheikh wangu ubwabwa? Kesho mtataka na JF ya Kiislamu kobaz mwenzangu.
 
Linatakiwa liwepo waislam wamwage vitu vyao huko sio huku kwenye habari mchanganyiko na hoja
 
Jukwaa lipo, wasiliana na makafir wenzako waliobadili muda wa kula watakuonyesha mkajazane upupu kichwani

Screenshot_20260223-223555.jpg
 
Kuna siku unaingia habari na hoja mchanganyiko page nzima imejaa mada za dini mwanzo mwisho. Mpaka unajiuliza hivi hatuna haja nyingine za kujadili zaidi ya dini? Where are great thinkers of JF? Inaboa kwa kweli
 
Salam Alaykum, niko hapa tangu 2020, lakini sijabahatika kukutana na jukwaa hilo ili nijaribu kuuliza mambobalimbali kuhusiana na dini ga uislamu.

Nilikua napendekeza jukwaa hilo lianzishwe, au linakiuka protocal za JF?

Wasalaam,
Uislamu ni usènge hivyo hakuna nafasi hiyo humu.
 
Back
Top Bottom