Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,340
- 2,907
Bado lipo.JUKWAA LA DINI/IMANI LILIWAHI KUWEPO
Bado lipo.JUKWAA LA DINI/IMANI LILIWAHI KUWEPO
Aisee nkmecheka😄Hapo umeshainjika kila kitu tumboni kachori viazi mbatata viazi mviringo viazi vitamu sasa mwili ume-react vinahamia kichwani kwa kasi hadi vimekuondolea uwezo wa kufikiri sawa sawa.
Jukwaa la uislam kawaulize bakwata.
Mawazo hauajazuia dini nyingine pia kua n ajukwaa lao, sikumaanisha liwe jukwaa la uislamu pekee, jamaa mbona huna akili??Kawaida yenu
Watu wa kijitengenezea ubinafsi wenu kwa kudhan nyie ndio wa muhimu, kwa lipi labda.
Hii dunia tunategemeana na kwa bahati mbaya JF sio qatar, jf is jf.
Rubbish taka taka
Sasa shida iko wapi? Mtu kupata elimu ya dini yake specifically kupitia JF??Nyie ndo mnafanya sisi sote tuonekane vilaza hatuna elimu. Kama mnataka jukwaa la kiislamu anzisheni group lenu. Kuna Jukwaa la Dini halitoshi sheikh wangu ubwabwa? Kesho mtataka na JF ya Kiislamu kobaz mwenzangu.
Ni opinion yako , mawazo ya mtu yaheshimiweHapo umeshainjika kila kitu tumboni kachori viazi mbatata viazi mviringo viazi vitamu sasa mwili ume-react vinahamia kichwani kwa kasi hadi vimekuondolea uwezo wa kufikiri sawa sawa.
Jukwaa la uislam kawaulize bakwata.
Kwahiyo brother kwa akili yako unahisi ni sawa kufata habari specifically alaf unakutana na habari nyingine?Nyie ndo mnafanya sisi sote tuonekane vilaza hatuna elimu. Kama mnataka jukwaa la kiislamu anzisheni group lenu. Kuna Jukwaa la Dini halitoshi sheikh wangu ubwabwa? Kesho mtataka na JF ya Kiislamu kobaz mwenzangu.
2Q + 2Q = YouHapo umeshainjika kila kitu tumboni kachori viazi mbatata viazi mviringo viazi vitamu sasa mwili ume-react vinahamia kichwani kwa kasi hadi vimekuondolea uwezo wa kufikiri sawa sawa.
Jukwaa la uislam kawaulize bakwata.
OkJukwaa lipo, wasiliana na makafir wenzako waliobadili muda wa kula watakuonyesha mkajazane upupu kichwani
View attachment 3547762
Itafikia kipindi (Wakati ambao ushachelewa) ndio utajua na kugundua umuhimu wa dini kwenye maisha yako kuliko hayo mambo mengine ambayo unayapa kipaumbeleKuna siku unaingia habari na hoja mchanganyiko page nzima imejaa mada za dini mwanzo mwisho. Mpaka unajiuliza hivi hatuna haja nyingine za kujadili zaidi ya dini? Where are great thinkers of JF? Inaboa kwa kweli
Ongeq na hamis77 na Castle_LiteSalam Alaykum, niko hapa tangu 2020, lakini sijabahatika kukutana na jukwaa hilo ili nijaribu kuuliza mambobalimbali kuhusiana na dini ga uislamu.
Nilikua napendekeza jukwaa hilo lianzishwe, au linakiuka protocal za JF?
Wasalaam,
Sasa shida iko wapi? Mtu kupata elimu ya dini yake specifically kupitia JF??
🤣🤣🤣Hapo umeshainjika kila kitu tumboni kachori viazi mbatata viazi mviringo viazi vitamu sasa mwili ume-react vinahamia kichwani kwa kasi hadi vimekuondolea uwezo wa kufikiri sawa sawa.
Jukwaa la uislam kawaulize bakwata.