Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

Kobazi unataka kuleta tafrani humu ,kwanini usingeuliza jukwaa la dini badala yake unauliza jukwaa la uislamu ?
 
Itafikia kipindi (Wakati ambao ushachelewa) ndio utajua na kugundua umuhimu wa dini kwenye maisha yako kuliko hayo mambo mengine ambayo unayapa kipaumbele
I am not religious, I am spiritual. Religion doesn't mean anything to me, my spiritual wellbeing is all I care about.
 
Salam Alaykum, niko hapa tangu 2020, lakini sijabahatika kukutana na jukwaa hilo ili nijaribu kuuliza mambo mbalimbali kuhusiana na dini ga uislamu.

Nilikua napendekeza jukwaa hilo lianzishwe, au linakiuka protocal za JF?

Wasalaam,
Tembelea jukwaa la dini.
 
Salam Alaykum, niko hapa tangu 2020, lakini sijabahatika kukutana na jukwaa hilo ili nijaribu kuuliza mambo mbalimbali kuhusiana na dini ga uislamu.

Nilikua napendekeza jukwaa hilo lianzishwe, au linakiuka protocal za JF?

Wasalaam,
Aleykum salaam, maswali yako uliza hapahapa(kuna jukwaa la dini) wataalam watakujibu. Kila dhehebu likitaka jukwaa na tusioamini hizo myths zenu tukataka jukwaa itakuwa ni vurugumechi.
 
Back
Top Bottom