Kumbe eeh,,ngoja nikuje hapo
Ulikuwa wapi xmas yote nilikua nimewageukia ! Ni mtu mmoja tu aliyenifaudu kuniona siku hiyo!
Mh..nani huyo?!
Subiri tu mwenyewe atajitaja !
tupo sana ila busy na utaftaji ada
c unajua january hii
Skul fees mkuu!Upo jiji hili!?
Labda Nduruma!
nipo sana katika jiji hilihiliUpo jiji hili!?
Labda Nduruma!
hakaguliwi mtu
tena nasikia huku kuna kuoana
na mm natafuta mume kabisaaa!!
nipo sana katika jiji hilihili
tena katikati ya mji ka muhindi !!
atanikagua my husbnd tu,ww nitakutuliza kitakrima zaidiHuwezi kuolewa bila kukaguliwa! Kwahiyo unitafute kwa utekelezaji!
pale france cona kwny lile ghorofa ndio makazi yangu!!Katikati ya hili jiji ni stendi au kule posta!?
hakaguliwi mtu
tena nasikia huku kuna kuoana
na mm natafuta mume kabisaaa!!
haiwezekani nikaguliwe kwa kweliWewe fanya ukaguliwe fastaa waoaji tupo ila mkaguo muhimu
atanikagua my husbnd tu,ww nitakutuliza kitakrima zaidi