Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
pale france cona kwny lile ghorofa ndio makazi yangu!!
Nikishakukagua nitapata location! Embu kam zis wey!
pale france cona kwny lile ghorofa ndio makazi yangu!!
haiwezekani nikaguliwe kwa kweli
atanikagua muchumba nitakaempata tu!!
hakaguliwi mtu
tena nasikia huku kuna kuoana
na mm natafuta mume kabisaaa!!
hahahaha hauja olewa wewehakaguliwi mtu tena nasikia huku kuna kuoana na mm natafuta mume kabisaaa!!
hebu acha visa basiTakrima labda unipe kwenye chumba cha ukaguzi!
hahahaaa!!lwala sikuji ng'ooo!!Nikishakukagua nitapata location! Embu kam zis wey!
haya sasa tuone kama utanichungulia!!Kukaguliwa ni lazima! Sio hiari!
nataka muchumba humu ndani!!unasemaaa
sijawolewa, kwani we umewowa?hahahaha hauja olewa wewe
Niko huku jijini Arusha lakini sina uhakika kama kuna wadau wa JF, kama kuna wadau wa JF basi wajitokeze tufahamiane na kubadilishane uzoefu.
Nawasilisha.
nataka muchumba humu ndani!!
we umewowa?
aisee pole sanabado nipo alone
aisee pole sana