Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.
Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.
Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
Suala sio kujilinganisha na wengine ktk maovu.Well said dudus! Mara nyingi tunajilinganisha na wengine katika maovu na siyo katika mema. Wengine wadiriki hata kusema "hata ulaya mambo haya yapo". What nosense!
Kama ipi? Kwani waarabu hawana akili?Kuna agenda yao hizo media
Hapa naangalia Egypti kupitia Al-jazeera. Yaani ni balaa tupu
I have no idea. Ndio tujiulize ni kwanini mass gang-rapes in thousands na watu kuchomwa moto kule kwa ndugu zetu DRC hazionyeshwi lakini leo hii watu 200 wamekufa dunia nzima ni kelele tu.Kama ipi? Kwani waarabu hawana akili?
Nchi za kiarabu ni mbili tu katika ulizotaja.Jamani, mwenzenu nashindwa kuelewa. Hivi hizi inchi za Kiarabu zimekumbwa na masahibu gani? Naona kila siku ni vita za wenyewe kwa wenyewe na watu wanazidi kufa.
Yaani ukiangalia Afighanstan wanauana.
Pakistan wanauana
Siria wanauana
Egypt ndiyo usiseme! Wanauana kama kuku...hadi sasa watu karibu 800 washauana.
Jamani! Tatizo ni nini? Hizi nchi za Kiarabu zimekumbwa na maswahibu gani? Mbona wanauana kila kukicha?
Wanafitinishwa na nani?waarabu ni watu mashujaa sana,wana akili sana wana uchumi mzuri sana,tatizo lao kubwa ni kwamba waarabu ni rahisi sana kupandikiziwa fitna.wanapandikiziwa fitna afu wanaanza kufitiniana wao wa kwao.kama unavyojua utawala ukisha fitinika tu,hapo ndo kwishney
Binadamu wote ni sawa hakuna mmbora, kila jamii ina watu washenzi na waungwana.Mwarabu sina huruma naye kabisa. Wacha wachinjane hadi watakapotia akili. Ukimkuta msomi hana tofauti na maamuma aliyeishia chuo kwa hoja za kishenzi na kibaguzi. ------- zao.
Mkuu hapo unakosea.Mwarabu sina huruma naye kabisa. Wacha wachinjane hadi watakapotia akili. Ukimkuta msomi hana tofauti na maamuma aliyeishia chuo kwa hoja za kishenzi na kibaguzi. ------- zao.
Mmh! yakweli hayaWanataka nchi ziendeshwe kwa sharia. Ndilo hili ponda na wenzie wa uamsho zanzibar wanalipigania tz
Kwani hii thread ina nini? Umemsoma mleta mada lakini.Threads za namna hii MODS wanazipenda hadi wana:target:
Case ya Egypt ni ya utata sana.Wanataka nchi ziendeshwe kwa sharia. Ndilo hili ponda na wenzie wa uamsho zanzibar wanalipigania tz