Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .

Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo ambayo Serikali inaweza gharamia

Unakuta walengwa ni watu ambao hata kula yao tu shida .

Tuitaje hili ? Kibaya zaidi anachangiwa mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kifedha .​
Hakuna ubaya, kqmq pesa, IPO, we, ambae huna utaona shida, sasa Mungu kakubariki una ukwasi wa, kutosha, kutoa pesa, ili mchungaji apate Prado, au mwanasiasa apate v8, hakuna ubaya,
 
tena unakuta anae omba achangiwe ana afya njema, akili timamu, ana uwezo na nguvu kabisa za kufanya kazi....

mi nadhani,
msingi wake ni malezi, mazoea na tabia mbaya wanazo endekeza baadhi ya wana siasa na hao wa huko kwa maombezi ambao ni wa binafsi sana na wanajiona wao ni special than special itself.

tabia hii isopokemewa kwa nguvu zote, hukomaa na kua ndio maisha ya mtu, kama ya ombaomba wengine huko mabarabarani. ni aibu na fedheha sana kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki au taasisi inayohusika :BASED:
Tuonyeshe mahali ulipokemea Samia kuchangiwa hela ya kuchukua fomu wakati uwezo anao.
 
Tuliamua kama taifa siasa ndiyo iwe kazi inayolipa sana kuliko uweledi !baada ya hapo siasa ikaleta maisha magumu sana ndipo wajasiriamali was kiroho wakaona kukata tamaa wananchi ndio mlizamo wa kuwaunganisha Kwa Muumba kupitia matoleo !kwamba shida zao zitaisha!ndipo Hali ikawa mbaya zaidi Hadi sasa!
Daaa hii hatari
 
Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .

Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo ambayo Serikali inaweza gharamia

Unakuta walengwa ni watu ambao hata kula yao tu shida .

Tuitaje hili ? Kibaya zaidi anachangiwa mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kifedha .​
Umeandika kama akili zako,ajabu unakuta kuna watu wanakuheshimu
 
tena unakuta anae omba achangiwe ana afya njema, akili timamu, ana uwezo na nguvu kabisa za kufanya kazi....

mi nadhani,
msingi wake ni malezi, mazoea na tabia mbaya wanazo endekeza baadhi ya wana siasa na hao wa huko kwa maombezi ambao ni wa binafsi sana na wanajiona wao ni special than special itself.

tabia hii isopokemewa kwa nguvu zote, hukomaa na kua ndio maisha ya mtu, kama ya ombaomba wengine huko mabarabarani. ni aibu na fedheha sana kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki au taasisi inayohusika :BASED:
Kuna mmoja eti alichangiwa fomu ya kugombea urais 😂😂😂😂😂
 
..viongozi wa Ccm ndio kupe wanaonyonya damu, na kuitafuna nchi yetu.

..majuzi wabunge wa Ccm wamepitisha sheria ya mafao na pensheni kwa wake na waume wa viongozi wakuu.

..kwamba hata Baba Abduli naye anastahili mafao mkewe akistaafu. Hivi ni nani amewahi kumuona Baba Abduli?
 
Back
Top Bottom