Hivi hili ni kweli kuhusu UKIMWI?

Hivi hili ni kweli kuhusu UKIMWI?

Nimewahi kusikia kuwa ukifanya mapenzi na mwadhirika wa ukimwi kwa muda mfupi(bila mchubuko kutokea) huwezi pata virus. Je nikweli?

Uwezekano wa kutopata michubuko wakati wa huo mchezo ni asilimia zero.
Ukiingia peku tu kwenye hizo nyaya, basi jua unaukwaa.
Ova.
 
yes..but ni %000000000000000000000000000000000.1..so ebu jaribu tuone kama utapita salama.
 
Nimewahi kusikia kuwa ukifanya mapenzi na mwadhirika wa ukimwi kwa muda mfupi(bila mchubuko kutokea) huwezi pata virus. Je nikweli?

hakuna ukimwi hiyo kitu ni biashara ya phamaceutical industries, we ----- tu mzee usiogope.
 
Kijana hakuna ukimwi we sopeka ududu tu ile kitu ni Tamu sana Kula Mara 20 kwa siku.
 
hata semina za uandishi sahihi wa kiswahili mbna zmetolewa sana humu we ulikua wapi?...'xaxa' 'xemina' ndo mdudu gani?
Hizo ni lugha za fb, huku jf ni kama kapotea njia vile?
 
Mmmh mkuu vp.....najua tayari ushafanya mkuyati na m2 unamuhic kuwa arna virus....sasa acha kufanya assumption kaa izo...we kaa hujamwamin m2 ...ucmwamin never....haya xaxa kwenye swali lako;bila mchubuko virusi haviwez kushift...kwa mawazo zaidi peleka swali lako jf doctorz.....afu mbona xemina nyingi zimetolewa khsu ukimwi we vp uko wap .....
Wangese utawajua tu... Wanabana pua hadi kwenye keyboards
 
hata semina za uandishi sahihi wa kiswahili mbna zmetolewa sana humu we ulikua wapi?...'xaxa' 'xemina' ndo mdudu gani?

Mkuu hata mimi nawashangaa sana wenye pigo hizo sijui ndo tuwaone wa kisasa...
 
Google usome acha uvivu mambo ya nimesikia ndio nini[/QU
Mkuu kama kila kitu uta-google, hakutakuwa na mada hapa jf. Pia mada ikiwa posted hapa ni elimu tosha kwa wengine pia
 
Nasubiri mada zako zenye majibu
 
Back
Top Bottom