Hivi hili joto Ni Dodoma tu au?

Hivi hili joto Ni Dodoma tu au?

Leo nipo Huku maeneo ya mpwapwa Huku mbori (matomondo) nimekuja kumsalimia Babu na Bibi yangu

Picha linaanza nimeshuka kwenye gari nafika home joto ni Kali sana jua linawaka vibaya mno Tena ukizingatia nyumba za Huku Ni za asili Yani za tembe Basi Watu hawana Budi kukaa nje Watu wametandika majamvi joto Kali sana
View attachment 3707596
Hivi hilii joto Ni dodoma tu au?
Kwani zile billion 700 za elnino hazikuinhizwa kununua a/c
 
Hizo nyumba ni zama za "stone age" au vipi! Nijibu swali! Ni kila mahali hapa Dar ni kama jua limeshuka cm kadhaa!
 
Back
Top Bottom