Hivi hili joto Ni Dodoma tu au?

Hivi hili joto Ni Dodoma tu au?

Ni kawaida kwa Dodoma. Huku Bahi karibu na deposit ya uranium kuna wakati huwa tunalala nje kabisa kutokana na joto kuwa juu. Ukitaka baridi jisogeze Dodoma mjini.
 
Leo nipo Huku maeneo ya mpwapwa Huku mbori (matomondo) nimekuja kumsalimia Babu na Bibi yangu

Picha linaanza nimeshuka kwenye gari nafika home joto ni Kali sana jua linawaka vibaya mno Tena ukizingatia nyumba za Huku Ni za asili Yani za tembe Basi Watu hawana Budi kukaa nje Watu wametandika majamvi joto Kali sana
View attachment 3707596
Hivi hilii joto Ni dodoma tu au?
Wewe siyo mzalendo.
Tanzania ya mama haina mkoa wala wilaya yenye nyumba za tope na kuezekwa kwa nyasi.
Itabidi ukapimwe mkojo.
 
Back
Top Bottom