BoyHimself
Member
- Mar 27, 2022
- 30
- 24
Hakika ,wazazi wanaoaswa kuhakikisha watoto wanakua katika misingi bora ya heshima
Wamezitoa kwa wazazi waoYaan una kuta kijana wakiume ana piga picha ana funua shati ana onyesha boxer for which reason au kavaa kata k kiasi kwamba akiinama makalio yapo njeee nashindwa kuelewa kabisa na unapo jaribu kumuelimisha kwa namna fulani una onekana mshamba
Af pia tabia ya kukatika yaani hii ndio sijawai elewa kabisa yaan wana shindana kukatika mbaya zaidi sasaiv wazazi mna waaachia watoto simu na simu ina onyesha kila kitu anapo ona watu wana fanya ivyo ana chukulia kawaida
Mfundishe mtoto wako wakike au wakiume ajue thaman yake katika jamii na zaidi ajue miiko yake kulingana na jinsia yake nini ana paswa kufanya na nini hapaswi kufanya mfundishe akiwa mdogo
Ni hayo tu
wewe sina hata tusi la kukutukana maana umeshayona majiti ya muhogo kama yoteWaendelee kutuonesha Makebo yao tufaidi.
Vijana wa dar wana makebo mazuri sana sijui wamerithi kwa mama zao!
Hiyo ya kulatika bila shaka wamejifunza kutoka kwa Mzee Mwandambo.
Hiyo ya kupiga picha huku wamefunua boksa nadhani wamekopi na kupesti kutoka kwa anko T.
Kuna hii ya kutingisha makebo watembeapo ambayo Kubwa la Maadui anaipromote kwa nguvu zote.
My take: watoto wetu wa kiume tuwafundishe vile ambavyo mwanaume anapanswa kuwa. Nukta, mwisho wa kunukuu 😎
sahihi,vitu kama hivyo huwa wanaviona kupitia social media kutoka ulaya na marekani kisha wanakopi hapo mzazi ni ngumu kumzuia asivione japo bado mzazi anawajibika kumfundisha mtoto ajue jambo lipi ni zuri na lipi ni bayaWakati mwingine wazazi wanawalea watoto wao vizuri tu, lakini watoto wanaigana wanakutana na wenzao.
Kumbuka anayeiga siku zote humzidi yule anayemuiga.
Kijana wangu huwa namwambia asiwe mwepesi wa kuiga kitu/jambo bila kukipima mwenyewe.sahihi,vitu kama hivyo huwa wanaviona kupitia social media kutoka ulaya na marekani kisha wanakopi hapo mzazi ni ngumu kumzuia asivione japo bado mzazi anawajibika kumfundisha mtoto ajue jambo lipi ni zuri na lipi ni baya
vizuri hivyo ndivyo inavyotakiwa unamjengea mtoto uwezo wa reasoning kabla ya kutenda jamboKijana wangu huwa namwambia asiwe mwepesi wa kuiga kitu/jambo bila kukipima mwenyewe.
Kuiga tu ni kubaya mno.vizuri hivyo ndivyo inavyotakiwa unamjengea mtoto uwezo wa reasoning kabla ya kutenda jambo