Hivi hii tabia vijana wame itolea wapi

Hivi hii tabia vijana wame itolea wapi

Me kuogopa majukumu ya kula kwa jasho kifamilia na wao hutaka kuhudumiwa sawa na Ke "kuwa marioo" kwa kigezo cha "HAKI SAWA".

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.

Hao sasa ni wachache mm naamin mtu alie lelewa baba na mama pamoja wanakuwa na upendo zaidi kutokana na familia isipo kuwa walio lelewa na single mother maji hufwata mkondo
 
1788042116102.jpg
 
Back
Top Bottom