Hivi hii tabia nayo sio ugonjwa kweli?

Hivi hii tabia nayo sio ugonjwa kweli?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,704
Reaction score
7,409
Halo JF habari mchanganyo.

Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.

Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.

Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
 
Mimi na my pipi, hatuna ugonjwa wa kukanyaga viatu
tapatalk_1574665826181.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi ni kutokujali,na ni suala mtambuka hatajali mambo kwenye maeneo mengi tu
 
Halo JF habari mchanganyo.

Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.

Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.

Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
Ukimaliza hao uje kwetu ambao tunanunua mashati ya mikono mirefu lakini kila tukivaa tunakunja mikono wakati mashati ya mikono mirefu yapo.
 
Halo JF habari mchanganyo.

Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.

Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.

Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
hapa natype huku nimekanyagia viatu.twenti twenti kila MTU apambana na yake babu.
 
Halo JF habari mchanganyo.

Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.

Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.

Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
Hizo zitakua genetic disorders

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom