Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,838
- 7,731
- Thread starter
- #21
Kwanini
Kwanini
Acheni uharibifuUmetusaidia kununua?
Hivi hivi polepole siku zijazo watakanyagia mashati.Kati ya binadamu wanao niboa duniani ni hao pia nawale wanao kanyagia jeans
Mimi mtu anayetembea anaburuza miguu ananikera sana. Tena afadhali kidogo mwanamke ila mwanaume unashindwa kunyanyua mguu wakati wa kupiga hatua ni fedhea sana,utakuwa ugonjwa piaHalo JF habari mchanganyo.
Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo.
Mwingine kiatu kipya kabisa wala hajali anakanyagia tu na Mara nyingi wenye hulka hii hawavai soksi.
Sasa najiuliza tabia hii ya uharibifu viatu sio ugonjwa kweli?
Pambana na maisha, acha kufuatilia mambo yasiyokuhusu.Acheni uharibifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mtu anayetembea anaburuza miguu ananikera sana. Tena afadhali kidogo mwanamke ila mwanaume unashindwa kunyanyua mguu wakati wa kupiga hatua ni fedhea sana,utakuwa ugonjwa pia
Yani Kama mimiMimi kukanyagia napenda kwa sababu napenda kuvaa sandalz. Viatu vya kufunika vinanipa shida yaani vya kamba ndio kabsaaa
[emoji16][emoji16][emoji16] nzuri
kuna jamaa yangu anakanyagia jeans huwa inanikera balaaKati ya binadamu wanao niboa duniani ni hao pia nawale wanao kanyagia jeans
Ukimaliza hao uje kwetu ambao tunanunua mashati ya mikono mirefu lakini kila tukivaa tunakunja mikono wakati mashati ya mikono mirefu yapo.
Jins mpya tenaKati ya binadamu wanao niboa duniani ni hao pia nawale wanao kanyagia jeans