Hivi hii ni sawaa?

Sasa unasubiri nn na mimi nahitaji mwenye sifa kama zako
 
Kwahiyo binti anamuonea huruma housegirl kuliko kumjali mama mkwe. Kwanza nini kazi ya house maid
 
Wewe Dinazarde unaanza sasa, nina hamu sana na wewe....wikiendi hii, unapatikana wapi?
 
Muache akae ata miaka kumi...ana haki zote za kukaa kwa mwanae tena bila kusumbuliwa...yeye ndio mama
 
Kabeba mimba miezi 9, kambadirisha nepi, kamsomesha.

Kujaa kukaa miezi 6 tu mnaanza maneno.

Ndio maana wengine hawafikirii hata kuoa wazazi wao wale matunda yao kwanza.

Pole yake mwambie agangamale

Wenzie tulipumzika wiki 2 tu tukaingia mzigoni no housegirl ni msaidizi (wazazi.wote wa pande mbili watu wazima huwezi kuwapigisha deki) na tunadunda viuno vishanyooka

Ila hata kama mkwe hakumuhudumia sio sababu ya kununa
 
Ni haki maana ni mwanae,ni busara pia maana wamekubaliana lililomuweka hapo,ie mtu na mamake,hivyo wewe chukulia poa tu kama vile ungeolewa kijijini na yuko hapo ungefanyaje?au unataka aondoke umfanye nini mtoto wa mwenzio?
 
Sasa yeye huyo lafiki yako mbona analalamika ,ndo ajue hata huyo mama alimwangaikia sana huyu wanae mwita Mme tena bila house girl
 
Wewe sindo tuliona bandiko humu ukimsifia Mme wako natabia zake zilivyo nzuri pamoja na ndugu zake
 
Wewe sindo tuliona bandiko humu ukimsifia Mme wako natabia zake zilivyo nzuri pamoja na ndugu zake
Mim naweza kukabiliana navyo,,ila wengine hawawezii wakiona kitu kidogo wananunaa,,,ila tu sisi wanawake tuna manenoo
 
Mim naweza kukabiliana navyo,,ila wengine hawawezii wakiona kitu kidogo wananunaa,,,ila tu sisi wanawake tuna manenoo
Sambona unadai atakaekuoa kapata wakati ushaolewa pia kwanini usimshauli nahuyo lafiki yako nayeye akatulia akaacha kumchukia mzaa chema wake kumbuka ukipenda boga penda na ua lake
 
Sambona unadai atakaekuoa kapata wakati ushaolewa pia kwanini usimshauli nahuyo lafiki yako nayeye akatulia akaacha kumchukia mzaa chema wake kumbuka ukipenda boga penda na ua lake
Sawa kaka halaf angalia matumizi L na R
 
Hivi akija mama yake huyo mwanamke akikaa mwezi pia atalalamika?

Hizi tabia za kibashite hizi inabidi zikomeshwe.

Wote ni wazazi inabidi tuwalee kwa Upendo na kuvumilia mapungufu Yao kwani hata wao walitumilia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…