Tumeombiwa pia tunaweza kutumia liqual/pombe kunawa swafi hapa
Vinauzwa buku jero, nimepakaa sana miaka hiyokatafute hii mkuu au dettolView attachment 1391278
Hahahaa kwel, o level nmezipaka sana hizo[emoji23]. Af zilikua bei chee sjui elf 2 au buku jeronimecheka sana daah[emoji16][emoji16][emoji16]
Nafikiri hivyo pia Dettol ,clorine, v-rid na ethanol could suit the purpose.Vipi ukinawa kwa kutumia hizi chlorine ambazo uwa wanaweka langoni mwa kambi za kipindupindu au V-Rid za kuweka kwenda maingilio ya mabanda ya mifugo ambazo hata bei yake ni nafuu pale ambapo matumizi yake ni makubwa na ya kila mara?
duh huyu mkatili box moja ana 1m na laki 2 box 10 m12 anatoboa fasta..
Kukaukiwa na povu[emoji3][emoji3]Hiyo ni sabuni. Hand sanitizer unaipaka na haunawi mikono kuiondoa. Lakini hiyo lazima usuuze mikono ili itoke. Bila hivyo utakaukiwa na povu lake meeen
Sent using Jamii Forums mobile app
povu la corona
Hahahaa hiv hapo inakuaje sasa, au ndo corona inaendelea kubaki mikononi had anawe na majipovu la corona
Sent from my SM-G950U using Tapatalk
Bei ya watalii hyoduh huyu mkatili box moja ana 1m na laki 2 box 10 m12 anatoboa fasta..
Sent from my SM-G950U using Tapatalk
acha kumzingua ni sabuni ya kunawia mikonoHiyo ni sabuni ya maji ya kuoshea vyombo. Yenyewe ni kama hiyo hapo chini [emoji116]View attachment 1391319
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaHio sio sanitizer. Hio ni sabuni ya maji.
Imeandikwaje hyo, maneno hayaonekani vzuri. Ila sanitizer inaanzikwa kabisa jina na matumizi yake
vimepanda hadi buku 3Vinauzwa buku jero, nimepakaa sana miaka hiyo
Huku bado wanatuuzia Elfu sita ila kuzipata mpaka uvizie supamaketi.Mask zile za blue 😂😂 jamani hizo si mia 3?!!
Huku bado wanatuuzia Elfu sita ila kuzipata mpaka uvizie supamaketi.
hizi za katavi sio za kuziamini sana boss,si unajua wabongo wanaweza kukuweke rangi za ice cream na ute wa majai na pafyum kwa mbaaali😂Hiyo ni sabuni ya maji ya kuoshea vyombo. Yenyewe ni kama hiyo hapo chini [emoji116]View attachment 1391319
Sent using Jamii Forums mobile app