Hivi hii kweli au picha

Sasa fanya hivi..,tafuta grosary iliyo karibu hapo nunua bia mbili kisha jiburudishe tu, na chenji itabaki ya kunywea supu.HII ITAKUWA BORA KULIKO KUWAPA FEDHA HAO MATAPELI..KAA MBALI NAO KABISA
 
hao ni matapeli na ukitaka kuthibitisha embu google hao " taesk technologies"
utajua hao jamaa ni matapeli
 
Kampuni inayo andika lugha ya namna hii `you have get `, many applicant are`... repeat again na `so as` nyingi hivyo katika sentensi moja itoshe kukuthibitishia kuwa hapo hakuna uhalisia. Shtuka ndugu. Usidhani ni fursa huenda wewe ndiwe fursa yenyewe kwao.
 
sijamaliza hata kuisoma iyo document, iyo kingereza iliyoandikwa humo... unajua tu kwamba ni matapeli....
kampuni ambazo ziko serius hazinaga maelezo mengi ivo.... barua ya kukuita interview ina page 2..... sijawahi ona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom