dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,597
- 60,826
jarib tu mkuu
jarib tu mkuu
sijamaliza hata kuisoma iyo document, iyo kingereza iliyoandikwa humo... unajua tu kwamba ni matapeli....
kampuni ambazo ziko serius hazinaga maelezo mengi ivo.... barua ya kukuita interview ina page 2..... sijawahi ona
Sent using Jamii Forums mobile app
jarib tu mkuu
hivi kuna mtu anathubutu kutuma elfu 10 yake hapo??
Hiyo ni wizi live tena huyu anawaliza wasomi ambao wako desperate na tatizo la ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni inayo andika lugha ya namna hii `you have get `, many applicant are`... repeat again na `so as` nyingi hivyo katika sentensi moja itoshe kukuthibitishia kuwa hapo hakuna uhalisia. Shtuka ndugu. Usidhani ni fursa huenda wewe ndiwe fursa yenyewe kwao.
hao ni matapeli na ukitaka kuthibitisha embu google hao " taesk technologies"
utajua hao jamaa ni matapeli
Sasa fanya hivi..,tafuta grosary iliyo karibu hapo nunua bia mbili kisha jiburudishe tu, na chenji itabaki ya kunywea supu.HII ITAKUWA BORA KULIKO KUWAPA FEDHA HAO MATAPELI..KAA MBALI NAO KABISA
kimbia,
wewe kimbia usigeuke nyuma kimbia......
tatizo ni kuwaza negativity kwa sana, kupata kitu kuna muda unahitaji kutake risk na kuwa aware na chochote kitakachotokea...
jilipue tu mkuu
Iv mtu anawezaje kuandaa detailed info ivo kwa lengo tu lakutapeli buku 10?...c wangejikita ata ku develop app or something.
Waafrika ndo mana hatunaga maendeleo tunawaza namna yakupigana tu mda ote
Sent from my iPhone using JamiiForums