Hivi hii kweli au picha

frank omary

Member
Jan 18, 2019
39
9
Zajioni wana jamvi juzi nilituma maombi ya kazi somewhere ila leo nimepokea email yao sasa ichi kipengele cha kutuma pesa apa 10000 kama bond ni kweli au ndo kupigwa?
Screenshot_2019-01-19-19-39-54.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iv mtu anawezaje kuandaa detailed info ivo kwa lengo tu lakutapeli buku 10?...c wangejikita ata ku develop app or something.
Waafrika ndo mana hatunaga maendeleo tunawaza namna yakupigana tu mda ote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
tatizo ni kuwaza negativity kwa sana, kupata kitu kuna muda unahitaji kutake risk na kuwa aware na chochote kitakachotokea...
jilipue tu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom