Hivi hii kitu ni kweli au?

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
380
225
Tumia mtandao wowote unaoupenda huku ukilipwa na Perfect Internet

Tunatumia fb na mitandao mingine bila kulipwa hata senti tano.

Kwa nini usijiunge na Perfect Internet ukapakua (download) Perfect App ambayo itakuwezesha kutumia mitandao kama fb lakini wakati huo huo ukiwa mwanachama wa kulipwa na Perfect Internet?

Mimi niko hapa fb lakini narekodi masaa yangu ya kulipwa pamoja na masaa ya watu waliojiunga kupitia kwangu kwa sababu nimekuja hapa kupitia Perfect App.

Hakuna sababu kwa nini na wewe usifanye hivyo. Jiunge hapa sasa bure na ukishajiunga utapata kiungo chako maalum cha kualikia watu ili wajiunge kupitia kwako na hivyo kukuwezesha kimapato kwenye mradi huu. Mwisho wa fursa hii ni 28th February 2014. Bonyeza kiungo hiki kujiunga http://www.perfectapp.biz/?refid=278eb8bd08
 
kabiriga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
847
1,000
hizi bihashara siwezi kuziamini unless kuna contract kati yangu na hao walipaji kamasio ujanjaunja wamtandaoni ni nini?!!.
 
JuaKali

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
779
195
Tumia mtandao wowote unaoupenda huku ukilipwa na Perfect Internet

Tunatumia fb na mitandao mingine bila kulipwa hata senti tano.

Kwa nini usijiunge na Perfect Internet ukapakua (download) Perfect App ambayo itakuwezesha kutumia mitandao kama fb lakini wakati huo huo ukiwa mwanachama wa kulipwa na Perfect Internet?

Mimi niko hapa fb lakini narekodi masaa yangu ya kulipwa pamoja na masaa ya watu waliojiunga kupitia kwangu kwa sababu nimekuja hapa kupitia Perfect App.

Hakuna sababu kwa nini na wewe usifanye hivyo. Jiunge hapa sasa bure na ukishajiunga utapata kiungo chako maalum cha kualikia watu ili wajiunge kupitia kwako na hivyo kukuwezesha kimapato kwenye mradi huu. Mwisho wa fursa hii ni 28th February 2014. Bonyeza kiungo hiki kujiunga The Perfect App
Kuna Jamaa kaleta story kama hizi hapa hapa si zaidi ya siku nne zilizopiga kapigwa kadi nyekundu " BANNED " He is no more, labda aje na jina lingine.
 
achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
380
225
Nashukuru kwa mawazo yenu hata mimi nilikuwa naona kama kuna janja ya nyani vile hawa jamaa kuna kitu labda kimejificha nyuma ya haya matangazo yao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom