Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,597
Shida iyo uzinzi upo kwenye paja la uso 😂Nilivyosikia kutoka na mtoto nikajua demu,kumbe mtoto kama mtoto😂
Itakuwa ni wewe tu!au ni mimi tu
KweliiItakuwa ni wewe tu!
😂😂😂😂😂Niliendaga beach na mtoto,Kuna wauza Maputo/bofu wakawa wanampa mtoto,,,,mtoto akapokea si kiling'ang'ania😁,,,,mie nawatizama tu,,eti mnunulie,,,,,nikamwambia akipasua usinidai.
Hiyo DP, niliwekaga status, jamani waja walivyofurika inbox kujistukiaaa.Niliendaga beach na mtoto,Kuna wauza Maputo/bofu wakawa wanampa mtoto,,,,mtoto akapokea si kiling'ang'ania😁,,,,mie nawatizama tu,,eti mnunulie,,,,,nikamwambia akipasua usinidai.
😁😁😁,Niliweka baada ya kunguni wa jf mmoja kunipa habari ya mie Cha wote🤣🤣🤣,Hiyo DP, niliwekaga status, jamani waja walivyofurika inbox kujistukiaaa.
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣,We kwenye uandishi ni hamna bora tu ukomae na mapishi.
Au nasema uongo? Huyo aendelee tu kumenya ndizi na kujitahidi kuboresha pishi la kande🤣🤣🤣🤣🤣,
Mfundishe mtoto wako kuwa mvumilivu na uende ukamnunulie hicho cha buku mbili.Mtoto akiwa mbishi na kulialia hovyo,mpe kwenzi la kispoti aache ujingaujinga.Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu tu mtoto kalilia sasa mm nime chukua hatua ya kumpa iyo 2000 na kusepa chap hii kitu ina kela au ni mimi tu
Mawaaaa, mpe mtoto maisha ujue🤣Niliendaga beach na mtoto,Kuna wauza Maputo/bofu wakawa wanampa mtoto,,,,mtoto akapokea si kiling'ang'ania😁,,,,mie nawatizama tu,,eti mnunulie,,,,,nikamwambia akipasua usinidai.
Kuna paja la uso na ni Mwachi analijua peke yake na hatuambii 😅😅😅We kwenye uandishi ni hamna bora tu ukomae na mapishi.
🤣🤣🤣Maputo hapana,Mawaaaa, mpe mtoto maisha ujue🤣