Hivi hii kitu ishawahi kukutokea na wewe?

JE, kama umelowa petroli mwili mzima izo cheche (hiyo static electricity) inaweza ikawasha moto mtu ukawaka?
 
Electro static hiyo mkuu yaani inatokea wakati wa msuguano flani hivi.
Wakati mwingine hata ukishika kitasa cha mlango unahisi kama kuna shot flani hivi.
Kifupi haina madhara kwa binadamu ila
kwa wale mafundi wa electronics walikuwa wanashauliwa kutumia ESD kit kukwepa kupiga shot vifaa wanavyotengeneza ila siku hizi hawazingatii hilo
 
Back
Top Bottom