Hivi hii kitu ishawahi kukutokea na wewe?

Raia mtiifu

Member
Joined
Apr 26, 2019
Posts
31
Reaction score
93
Amani iwe kwenu!
Naamini na nina imani kubwa sana na Jamii Forum kuwa hakuna changamoto isiyoweza kupata majibu yake hapa!

Niende moja kwa moja kwenye mada husika.Wanaume wengi huwa tunavaa singlend ama wengine tunaita vest,nadhani hakuna mgeni wa hilo, ila kinachonileta kwenu leo nimekuwa nashangaa sana nikivaa singlend/vest wakati naivua kutoka mwilini kumekuwa na kama shot ya umeme kutoka kwny singlend zangu(yoyote kati ya nilizonazo).

Kuna wakati nikiwa kwenye giza unaona zile cheche kabisa na ule mlio wa cheche unatokea.Nimevumilia kwa muda hali hii lakini nimeona leo nililete hapa labda kuna wenzangu humu wamesha-experience jambo hili au kama kuna yeyote anajua sababu na kama kuna madhara yoyote ni vizuri akanisaida kutambua na kuwasaidia wengine kujifunza.

Ahsante!
 
nunua za pamba hizo za nylon ni shida mkuu, kweli zinatoa kama mwanga na shot shot
 
Hizo vest zina plastic ndani yake, hivyo zinasababisha 'static electricity' kwenye vinyweleo vya mwili. Ukitaka kujua kuhusu static electricity, sugua ruler ya plstic kisha pitisha juu ya vinyweleo vya mkono utaona vinavyovutwa na ruler. TBS watafafanua zaidi.
 
Ilishantokeaga kwenye shuka, nikaligawaga huko. Nlikuwa nikilikung'uta na Mkono zinatoka cheche, lilibakia kwenye mzigo wangu wa mashuka ya kuuza, na ule mzigo ulikuwa bomu mbovu hasa.
So naungana na wanasema kuwa tafuta za cotton achana na plastics.
 
Amani iwe kwenu!
Naamini na nina imani kubwa sana na Jamii Forum kuwa hakuna changamoto isiyoweza kupata majibu yake hapa!

Niende moja kwa moja kwenye mada husika.Wanaume wengi huwa tunavaa singlend ama wengine tunaita vest,nadhani hakuna mgeni wa hilo, ila kinachonileta kwenu leo nimekuwa nashangaa sana nikivaa singlend/vest wakati naivua kutoka mwilini kumekuwa na kama shot ya umeme kutoka kwny singlend zangu(yoyote kati ya nilizonazo).

Kuna wakati nikiwa kwenye giza unaona zile cheche kabisa na ule mlio wa cheche unatokea.Nimevumilia kwa muda hali hii lakini nimeona leo nililete hapa labda kuna wenzangu humu wamesha-experience jambo hili au kama kuna yeyote anajua sababu na kama kuna madhara yoyote ni vizuri akanisaida kutambua na kuwasaidia wengine kujifunza.

Ahsante!
Asee mkuu..ushawahi pigwa na radi?
Unaanza kua The Flash.
Ah ah ah kawaida tu ,kfuani km una afro
 
Amani iwe kwenu!
Naamini na nina imani kubwa sana na Jamii Forum kuwa hakuna changamoto isiyoweza kupata majibu yake hapa!

Niende moja kwa moja kwenye mada husika.Wanaume wengi huwa tunavaa singlend ama wengine tunaita vest,nadhani hakuna mgeni wa hilo, ila kinachonileta kwenu leo nimekuwa nashangaa sana nikivaa singlend/vest wakati naivua kutoka mwilini kumekuwa na kama shot ya umeme kutoka kwny singlend zangu(yoyote kati ya nilizonazo).

Kuna wakati nikiwa kwenye giza unaona zile cheche kabisa na ule mlio wa cheche unatokea.Nimevumilia kwa muda hali hii lakini nimeona leo nililete hapa labda kuna wenzangu humu wamesha-experience jambo hili au kama kuna yeyote anajua sababu na kama kuna madhara yoyote ni vizuri akanisaida kutambua na kuwasaidia wengine kujifunza.

Ahsante!
Hali hiyo huwa inatokea pale umeme tuli (static electricity) unapokuwa umetengenezwa.
 
Amani iwe kwenu!
Naamini na nina imani kubwa sana na Jamii Forum kuwa hakuna changamoto isiyoweza kupata majibu yake hapa!

Niende moja kwa moja kwenye mada husika.Wanaume wengi huwa tunavaa singlend ama wengine tunaita vest,nadhani hakuna mgeni wa hilo, ila kinachonileta kwenu leo nimekuwa nashangaa sana nikivaa singlend/vest wakati naivua kutoka mwilini kumekuwa na kama shot ya umeme kutoka kwny singlend zangu(yoyote kati ya nilizonazo).

Kuna wakati nikiwa kwenye giza unaona zile cheche kabisa na ule mlio wa cheche unatokea.Nimevumilia kwa muda hali hii lakini nimeona leo nililete hapa labda kuna wenzangu humu wamesha-experience jambo hili au kama kuna yeyote anajua sababu na kama kuna madhara yoyote ni vizuri akanisaida kutambua na kuwasaidia wengine kujifunza.

Ahsante!
Ninawashukuru sana wakuu maana nilisema kuwa hapa hakujawahi kukosa majibu ya changamoto yoyote ile,nimepata elimu ya kutosha!Mungu awabariki sana!
 
Back
Top Bottom