Hivi hii inawezekana?

Hivi hii inawezekana?

Habari wana Jf.Naomba kuuliza hivi inawezekana mwanamke amekuzungusha miaka 03.Kisha akakubali na akawa anaupendo wa dhati?
Eti Wadada kwa experience yenu unaweza ukamzingua mwanaume muda mrefu na yeye akawa na mapafu ya mbwa ya kukufukuzia na mwisho ukamkubali na kumkabidhi moyo wako wote bila nusunusu?
Naomba kuwasilisha.
Acha kupiga mdenge mkuu.
 
Miaka mitatu yote hiyo alikuwa anachunguza nini? Huyo alikuwa na yake tu. Kuna mtu amabae alikuwa nae kipindi chote hicho anakuzungusha, sasa kimebuma huko ndio kaona ngoja aje kwako. Possibility ya kukupenda %100 ipo bila shaka kabisa. Kama kaja na wewe ndio ulikuwa unamsubiria, mpokee tu mkuu, hakuna shida.
 
Nawashilisha taarifa Mkuu bikra hakuna Tanzania ya wakati huu wa Handrod[emoji1]
Fanya utafiti kabla hijaongea mkuu wapo first year hawajui chochote kuhusiana na hii atmosphere
 
From my experience, msichana bikra huwa ni vigumu sana kumkubali mwanaume kirahisi hata miaka 3 inafika kabisa, ila kama sio bikra ujue ana yake huyo.
Mh! Hapana jamani, it depends kuna watu wameumizwa sasa nawe ukija mda huo huo bas utawavuruga maana hawako sawa.
Khs bikra, waweza kubaliwa kwa mwezi, wiki hata miaka, kulingana na yy kama kakupenda mda huo au lah!
 
From my experience, msichana bikra huwa ni vigumu sana kumkubali mwanaume kirahisi hata miaka 3 inafika kabisa, ila kama sio bikra ujue ana yake huyo.
Though kuna reality hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom