J Jicho tu JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 217 Reaction score 51 Aug 20, 2014 #1 Habari wajameni,nimekuwa nikifatilia tungo nyingi za wasanii wa bongo fleva na taarab,swali nnalojiuliza kila mwimba bongofleva ametendwa au ameachwa huku wenzao wa taarabu wao ni kuonewa gere/kijicho.Hebu waungwana tujadili ni desturi au mazoea tu.
Habari wajameni,nimekuwa nikifatilia tungo nyingi za wasanii wa bongo fleva na taarab,swali nnalojiuliza kila mwimba bongofleva ametendwa au ameachwa huku wenzao wa taarabu wao ni kuonewa gere/kijicho.Hebu waungwana tujadili ni desturi au mazoea tu.