Hao kwa kweli sijui walipo.Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?
Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo inaendaje???
Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au,,!
Hivi wale mliokuwa viongozi wa ulinzi vipi hapo Usalama wa Taifa mambo yanaendaje.
Ongezea uwezavyo mpaka hawa watu tuwapate
Hahahha.naamini watatafutwa kwenye hiyo wizaraWale wanafunzi waliokuwa wanakaa mbele ili waelewe mwalimu nawasalimu, mambo yakoje hapo wizara ya utumishi?
Hahahhaha.Hao kwa kweli sijui walipo.
Najua tu wale wala nyasi muda wa break na ma back banchers a. k.a wababe wa darasni, wengi ni muguuuuuuu pande...!!
Wanazingua kichizi kitaa maana wali chemka wakasafiri kwa nyota ya mjomba wangu ni....!!
Sio wote wapo uko, wengine tunao uku, nadhani labda Hawa walikuwa wanausikivu hafifu ndio maana tupo nao huku kitaa.
HahahaSio wote wapo uko, wengine tunao uku, nadhani labda Hawa walikuwa wanausikivu hafifu ndio maana tupo nao huku kitaa.
Hahahaha naamini ndo huwa wanapata chai ya asubuhi na papa.Wale vmliokuwa viongozi Wa TYCS mashuleni maisha yanaendeleaje huko VATICAN papa hajambo
Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?
Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo inaendaje???
Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au,,!
Hivi wale mliokuwa viongozi wa ulinzi vipi hapo Usalama wa Taifa mambo yanaendaje.
Ongezea uwezavyo mpaka hawa watu tuwapate
Natumaini huko walipo watapata salamu zako..hahahahaNa wale waliokuwa wanaenda kuhesabu namba saa 12 alfajir nawasalimia sana
Hahahahhahaha.nasikia ndio wanafanya biashara za kimataifaWale ambao O level mlichagua optional subject "French" mambo yanaendaje huko Paris
Watujuze mapato ya ofisi za mtaa yanaendeleajeNa wale kaka wakuu Walikuwa wanatutolea amri vipi hali ikoje mtaani??
Naamini watatupa mrejesho nini kinachoendelea hukoWale mliokuwa mnasoma hadi mnaandika'soma kama mtumwa uishi kama mfalme' mnaongoza falme zipi ukitoa Saudi Arabia na etswan(swaziland)
Sio wote wapo uko, wengine tunao uku, nadhani labda Hawa walikuwa wanausikivu hafifu ndio maana tupo nao huku kitaa.