Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Wakuu
Baada ya kutuma salamu zangu.sasa nawaletea ushuhuda
Wakati nasoma o level kuna boya alijidai sana shule kunoga .meza amejaza vitabu na daftari anatumia meza mbili peke yake
Na ma sifa mengi.unakuta muda wa break umefika ila yeye anaendelea tu kuuliza maswali
Basi bwana tukamaliza akatoka na div 1 mimi na jamaa zangu div 2
Kufika advance yule mjinga alipata division 0
Ukashindwa kumuuliza ukaona utoe na jibu kabisaaa hahaaaa
 
Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?


Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo inaendaje???

Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au,,!


Hivi wale mliokuwa viongozi wa ulinzi vipi hapo Usalama wa Taifa mambo yanaendaje.


Ongezea uwezavyo mpaka hawa watu tuwapate
Mungu anakuonaaa wee uliyeandika postii hiii
Taarifa yakooo walee wa chooni ndio wako mjini wamefanikiwa mifyezaaaaaa
 
Back
Top Bottom