Hivi hawa watu mnafikiri wakoje?

Hivi hawa watu mnafikiri wakoje?

Hakuna kitu hao hiyo ni defensive mechanism yao tu! Wengi wao unaweza ukakuta ni wale ukiwatomasa kidogo tu hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na kwenye kubanjuana ni watu wa kawaida sana na usikute ni watu wa miaibu aibu! Usitishwe na makelele yao mkuu Makomana kama unataka mmojawapo kati yao jilipue tu! Usitishike na ukubwa wa mkate dawa yake ni chai tu!

ngoja nijitupe kwa Madame B au Evelyn salt.... Watakuwa watam sana hao
 
Last edited by a moderator:
Shangaa na wewe... Wanadhan kila ID ya kike ni mwanamke!!

As hakuna sheria inayombana mtu kuwa na ID ya kike na yeye ni mwanaume na kuwa na ID ya kiume na yeye ni mwanamke.....

...........ktk hali ya kawaida huwez kjiita jina la kike wakat ni mwanaume au labda uwe shemale
 
Kumbe na wewe ukiona mtu ameweka neno Mrs, Madame, Miss basi tayari unaamini ni mwanamke?

Au akiweka avatar ya mwanamke tayari unaamini ni jinsia ya kike?

mkuu hivi unaweza kujiita mrs. Wakat ni mr? Bas utakuwa na kajitabia ka kuhemewa
 
Hakuna kitu hao hiyo ni defensive mechanism yao tu! Wengi wao unaweza ukakuta ni wale ukiwatomasa kidogo tu hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na kwenye kubanjuana ni watu wa kawaida sana na usikute ni watu wa miaibu aibu! Usitishwe na makelele yao mkuu Makomana kama unataka mmojawapo kati yao jilipue tu! Usitishike na ukubwa wa mkate dawa yake ni chai tu!

Ushawahi kubakwa na mdada wewe? Ngoja tije tukubake ndo utatujua uzuri.
 
Kila awezaye kuyasifia mapenzi kwa utamu wake si awezaye kuyamudu kwa umaridadi wake.

Because we all have chosen to be fake,so whatever we're expressing here is hundred percent fake unless to those who have materially tasted the souls of the mentioned above.
 
Mara nyingi kila nikiingia jf huwa najiuliza sana kuhusu hawa watu. Sijui wakoje? Mimi naona ni makokap sana waliokubuhu hata ukiingia kubanjuana nao inatakiwa mwanaume ujipange.. Kuna Lara1,Evelyn salt, Madame B, Miss Chagga na Nazjaz. Hebu ninyi wanajamvi kama mnaweza kusoma sycology ya mtu mnawachukuliaje hawa.
Evelny chumvi mbona hanaga makeke sana kama hao wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom