Umeandika kwa busara sanaUsawa wa jinsia ... vumilia..ajira zenyewe hakuna ..usiwaharibie....
Wata improve miaka inavyoenda
Utupu uliotupu.Hii usawa inaharibu quality kweli... Mbona akina dada wengine wengi mtaani wanalijua soka... Au ni michongo na rushwa.