Hivi hawa wakiamua si wanaweza?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
c2cf727afa67cc7aefce97db5e5517be.jpg
 
Imenikumbusha stori ya wavuta bangi watatu kichakani walioishiwa kibiriti wakamtuma mwenzao kwenda kutafuta maana mzigo wa bangi ulikua mwingi...mwenzao akazunguukaaa weee akajikuta katokea palepale wenzake walipokaa akawauliza masela mnakiberiti? Wakamjibu hata sisi kimeisha tumemtuma jamaa kutafuta. Nae akasema wacha basi namimi nisubirie..akakaa
 
Daaaah anko nimecheka hadi basi duuuuh
 
Back
Top Bottom