Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
HahahaImenikumbusha stori ya wavuta bangi watatu kichakani walioishiwa kibiriti wakamtuma mwenzao kwenda kutafuta maana mzigo wa bangi ulikua mwingi...mwenzao akazunguukaaa weee akajikuta katokea palepale wenzake walipokaa akawauliza masela mnakiberiti? Wakamjibu hata sisi kimeisha tumemtuma jamaa kutafuta. Nae akasema wacha basi namimi nisubirie..akakaa