Hivi hawa viongozi wa Marekani wanatumia mbinu gani kumwaga madini kwa muda mrefu hivi?

Hao unaowaona ni final products za best universities in the world..
Obama .. Harvard
Cuomo Yale na kadhalika..

Ukipeleka watu best schools lazima wakisimama wakiongea ..waongee vya maana
Mbona huyu wa kwetu kasoma UDSM ambayo ipo considered as the best kwa taifa hili lakini hawezi kuongea cha maana
 
Kuandika kwako ushuzi haikusaidi kitu zaidi ya kukuongezea idadi ya nzi makalioni

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Wewe ni jiwe??
Hivi jiwe ni nan?? Mbona mi sielewi

Sent by IPhone
 
viongozi wengi wa Tanzania ni wapayukaji tu ndio maan wanakinzana wao kwa wao mmoja wapo anapotoa tamko mwingine anakanusha au kupinga.
 
viongozi wengi wa Tanzania ni wapayukaji tu ndio maan wanakinzana wao kwa wao mmoja wapo anapotoa tamko mwingine anakanusha au kupinga.
Kama yule mlevi aliye hama chama fulan akapewa unaibu......

Sent by IPhone
 
Back
Top Bottom