Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Tecno camon CX 420k hii inamwonekano mzurii camera nzuri

Tecno WX3 150k hii ngumu imara bei chee!!.. camera kalii inakaa na charger.
Kwasasa hazipatika madukani na kama zipo nyingi fake!!

NB: tofautisha tecno WX3 na W3
For me!! Hizo simu sijutii
Upo sahihi mkuu sijaona tecno kali kama Wx3 inanifuta machozi ya tecno zembe zote nilizowahi kukutana nazo
 
makorokoro ya kichina yalisha kula bann kitambo kwangu km cna k2 ni bora nirud kwny tochi
 
Tecno camon CX 420k hii inamwonekano mzurii camera nzuri

Tecno WX3 150k hii ngumu imara bei chee!!.. camera kalii inakaa na charger.
Kwasasa hazipatika madukani na kama zipo nyingi fake!!

NB: tofautisha tecno WX3 na W3
For me!! Hizo simu sijutii
techno halaf fake?
 
Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
Basi kaka naomba mimi hiyo boom j8,angalau nioshe na mimi
 
Humu zaidi ya kujisifia mm natumia sijui Samsung magufu au mm sijui natumia Iphone Makondraa hakuna kipya hao wote ukiwauliza anayetumia Tecno na ww mna tofautiana nn ktk matumizi ya kawaida ya simu zenu ataishia kubwabwaja tu utsikia sijui Ram 4Gb na upupu mwingiiii.

Acheni sifa za kijinga wakati cm hiyo umeachiwa na shemeji baada ya yeye kununua mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mwenyewe upo kwenye kundi la watecno tu, hata ukiitoa hicho kisimu chako mbele za watu, hawastuki. Na sisi wa ios 8 tusemeje?
kwa io we una nunua simu ili ukitoa mbele za watu wakushtuke? bila shaka we ni mtoto wa shule.
 
mimi nilinunua mwaka jana 350 mbeya ... huyu ndugu ameongopa hapa
nilinunua CX Camon 380K 2016 km sikosei kipondi ziko hot,leo eti anasema ni 420K kapigwa huyu
kuna kitu kinaitwa consumer ignorance na bargaining power, hivi vinafanya wanunuzi kununua bidhaa moja katika bei tofauti tofauti. Kama alishindwa ku bargain vizuri na muuzaji akalialia vya kutosha basi ndio maana akauziwa bei kubwa au labda halivyotajiwa bei akujali sana yeye akalipa tu.
Kipindi tecno saprk 2 zinatoka nilienda duka la tecno kuulizia ilikuwa 320k nikaendelea kuzunguka maduka mengine nikakuta sehem inauzwa 280k nikasumbuana na jamaa akaniuzia kwa ahilingi 260k, juzi ndugu yangu alinunua simu hiyohiyo laki tatu lakini nilishangaa maduka ya tecno wanauza simu bei kuliko wauzaji wengine. Nilikuwa najaribu kuwaelewesha jinsi gani uzembe wa mteja kwenye ku bargain anaweza kununua bidhaa kwa bei ya juu kwahyo tusimshambulie sana huwenda hawezi ku bargain au ni mtu asiyehoji bei ye analipa tu anachukua bidhaa anatembea!

point
 
Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
Ungesema labda phantom Z ndo kali kwa tecno
 
Back
Top Bottom