Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Sh ngapi unawaongeza? pia kumbuka simu ukishanunua thamani yake inashuka.

Mfano : leo nunua Tecno CA11alaf kaa nayo mwezi uone kama utauza bei uliyonunulia
Eti upeleke tecno camon CX wakupe cammon 11 uwape na hela kidogo

Akili kumkichwa..


Tecno Camon 11 390k tecno camon CX 420k sasa hapo kubwa ni ipi????
 
Ni
Nitajie simu gani Kali kwa upande wa tecno mkuu?

Tecno camon CX 420k hii inamwonekano mzurii camera nzuri

Tecno WX3 150k hii ngumu imara bei chee!!.. camera kalii inakaa na charger.
Kwasasa hazipatika madukani na kama zipo nyingi fake!!

NB: tofautisha tecno WX3 na W3
For me!! Hizo simu sijutii
 
Tecno camon CX 420k hii inamwonekano mzurii camera nzur

Tecno WX3 150k hii ngumu imara bei camera kalii inakaa na charger chee!!. Kwasasa hazipatika madukani na kama zipo nyingi fake!!

NB: tofautisha tecno WX3 na W3
For me!! Hizo simu sijutii

Hiyo Tecno WX3 Nisha wahi tumia ilikija kunikera kitu kimoja tuhh, ilizima hotspot gafla mpaka Leo huwa haifanyi kazi aise
 
Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
We mwenyewe upo kwenye kundi la watecno tu, hata ukiitoa hicho kisimu chako mbele za watu, hawastuki. Na sisi wa ios 8 tusemeje?
 
Back
Top Bottom