Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,436
- 50,163
Sio mimi mkuu mond ndio wamerekebisha vibaya
Angalia quote za mwanzo kabisa
Sio mimi mkuu mond ndio wamerekebisha vibaya
Angalia quote za mwanzo kabisa
Eti upeleke tecno camon CX wakupe cammon 11 uwape na hela kidogo
Akili kumkichwa..
Tecno Camon 11 390k tecno camon CX 420k sasa hapo kubwa ni ipi????
Mkuu sio tecno zote mbovu zipo qalii
Ni sawa na kusema cyo wauaji wote wana roho mbaya..wapo wenye roho nzuri..
Ndoivyo mavoko
Tecno ni nini?
Hongera yako mkuu nadhani una Samsung S6 plus edge mimi Nokia 6.1 inanitoshaNi shidaahh kwa kulinganisha na simu gani mkuu
Duuuh komaa Mkuu nunua Samsung Tecno sio bali ni calculator.
Acha tununue pesa ni zetu si zako.halafu hizo wanazozikusanya watakuja kuwauzia tena kama mazuzu mtayanunua!
Watumiaji wengi wa Tecno hawana marinda!
Ni mafuta yakupika yalichujwa vizuri yasiyo na rehemu mkuu.Tecno ni nini?
Boom j 8? Kali? Tecno nzuri na imara zilikua phantom 5 pekee .....ninayo ina miaka mitatu mkononi haina tatizo lolote hata kioo chake hachuniki ng'o ....nshaiangusha sanaaaa haijawahi kupasuka kioo wala kusumbua kwenye matumizi yoyote Yale .Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
Mi sipendi, ya nini kutumia hela nyingi kwa huduma ile ile. Mwingine ni ujuha kama si ulimbukeni.Mkuu sio kwamba hatupendi kutumia Samsung tatiz money
Achana na wa kujishaua. TECNO ipo fresh kabisa na ni mkombozi wa wengi hapa kwetu.Mm natumoa TECNO CM iko poa mbona wakuu.?