chai_nazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 388
- 377
Kuna tecno zimeingia hazina hata applicatins za gallery,fike manager etc

Kuna tecno zimeingia hazina hata applicatins za gallery,fike manager etc

Hahah na umeona ni kweli namaanisha ni techno mkuu?
Kuna spark x, spark xz tecno ni shidaNazungumzia tecno spark
Tecno na Samsung ni mtu na baba ake OS moja android, chaja moja tumia basi hata iphone 4 mkuuTecno ndiyo simu gani mkuu tumia ata basi ka samsung j1 ase
Kuna spark x, spark xz tecno ni shida
Kila siku wanatoa toleo jipya hadi inakuwa kero... Ukifika dukan unakutana na c11,Ukiwa unarudi nyumban unasikia wametoa c11 spark, ukiwa unaelekea mjin kuchek teleo jipya unakutana c11 pro... Wapo ress Sana awa wachinaMbaya au nzuri??
😂Kila siku wanatoa toleo jipya hadi inakuwa kero... Ukifika dukan unakutana na c11,Ukiwa unarudi nyumban unasikia wametoa c11 spark, ukiwa unaelekea mjin kuchek teleo jipya unakutana c11 pro... Wapo ress Sana awa wachina
Nadhani model inayokuja ni spark xyz mkuu,hahahKuna spark x, spark xz tecno ni shida
zile zinatumia mfumo wa android 8.1 go edition ni lite edition ya android 8 yenyewe na ndio maana hazina mambo mengi na hata hizo google apps utakazozikuta kwenye smartphone yeyote inayotumia android 8.1 lite edition sio kubwa, youtube app ya kwenye spark 2 na samsung s8+ zpo tofauti, ya spark 2 ipo designed for lite android v8.1 na ya s8 ndio hizi youtube app tulizozoea zenye features zotepop1,spark 2 and spark 2 pro na , no youtube ni youtube gohatari sijui wana mpango ganiii
zile zinatumia mfumo wa android 8.1 go edition ni lite edition ya android 8 yenyewe na ndio maana hazina mambo mengi na hata hizo google apps utakazozikuta kwenye smartphone yeyote inayotumia android 8.1 lite edition sio kubwa, youtube app ya kwenye spark 2 na samsung s8+ zpo tofauti, ya spark 2 ipo designed for lite android v8.1 na ya s8 ndio hizi youtube app tulizozoea zenye features zote
Hata wewe hatukuelewa Mkuu
Hivi hawa tTcno mnawaelewa
Tecno hata watoe nini....ni simu za mabek tatu...Sio zote mkuu
Ni shidaahh kwa kulinganisha na simu gani mkuuMimi natumia mnyama Nokia 6.1 Snapdragon Qualcomm 636-2.2 GHz, 4 GB ram, 64 GB internal storage. Hii kitu weka mbali na watoto. Ni sheeeiiidaaah
Hii ipo kwenye heading yakoSio mimi mkuu mond ndio wamerekebisha vibaya
Angalia quote za mwanzo kabisa