Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
Yaani unavyoisifia sumsung hata hiyo s7 edge utafikirii ni simu ya maana basi.
Ni simu ya kissenge sana aisees hiyo na zote tu za sumsung
 
hayo mengine watajua wenyewe. nasubiria tu wazindue camon 11 pro kuuzwa madukani.
 
Back
Top Bottom