Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Techno ndio kitu gani watu tupo anga ingine mkuu
Screenshot_20181229-201334_Apex%20Launcher.jpg
Screenshot_20181229-201120_Apex%20Launcher.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno ndiyo simu gani mkuu tumia ata basi ka samsung j1 ase
Nshawah kutumia hii cmu J1 ACE yaan ilinitibua sana mkuu na automatically nlijikuta nazichukia simu hizi za samusun!!! Android yake even internal storage n ndogo mnoo kias kwamba huwez weka app zaid ya tano bila kujaa,kustack ndo yenyewe na hta camera yake ilikua ya kawaida mnoooooooo!! Nikaamua kuigawa bureeeee make ilikua inaniletea usiku tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom