Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

Kijana unakwama wapi? Huyo demu ameshakubali we kaza tuu ameshakubali kabisa! Usiache kumtafuta physically hata kumtafutia na zawadi kumpa jiko lako kabisa hilo!
Hapana kaka kama simu zangu hataki kupokea mimi naona haina haja ya kuendelea na haya mahusiano
 
Kama na wewe ni mwanachuo kwa kweli unatia aibu hicho chuo, upo mbali sana uelewa wa vitu vidogo vidogo...
Kwanza, kuona status ya mtu haimaanishi huyo mtu ana namba yako, wewe ukiwa na namba yake ya WhatsApp na umewahi kuchati nae bado utaendelea kuona status yake, huu uzi una vitu vingi sana ambavyo vinaonesha upo mbali sana na elimu ya msingi ya vitu vidogo vidogo
 
Hivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye?? Maana hapa kama nipo njia panda hivi.

Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi, nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mke wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mke wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.

Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.

Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.

Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.

Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
Aisee, hivi tumekosa kujiamini mpaka mtu amekukataa na bado ukaendelea kumchunguza. Siujinga huo! Amekukataa kwanjia yeyote, wewe sepa. Unalazimisha kupendwa halafu akikukamua na kukutengenezea sheria ili awe na wewe unaanza kujifanya kidume sasa, wakati tangu mwanzo ulishusha thamani yako na akakubali kuwa na wewe kama msaada tu, yaani anakufanyia favour. Jithamini bwana, mapenzi hayaui mbona watu tumeishi muda mrefu bila mapenzi na hatukufa na mtu akinikataa mara moja unasepa. Sihapa tunaishi na mpenzi sahihi akaja tu. Dunia imebadilika, wanawake wamebadilika sasa wewe jitutufye uonewe huruma uone kama hautapigwa na kitu kizito. Ukikataliwa sepa, tena kwa uongo, kwakweli utakuwa unajenga nyumba kwamsingi wa mchanga bila cement (uongo). Jitambueni!
 
Kama na wewe ni mwanachuo kwa kweli unatia aibu hicho chuo, upo mbali sana uelewa wa vitu vidogo vidogo...
Kwanza, kuona status ya mtu haimaanishi huyo mtu ana namba yako, wewe ukiwa na namba yake ya WhatsApp na umewahi kuchati nae bado utaendelea kuona status yake, huu uzi una vitu vingi sana ambavyo vinaonesha upo mbali sana na elimu ya msingi ya vitu vidogo vidogo
Sawa mkuu hali ninayopitia wakati huu ndio inanifanya akili yangu idrop kwa vitu vidogo kama hivi huwa na panic but nitajitahidi kujicontrol
 
watoto wa kike wamepigwa sana kwa gia ya kuolewa.ndo maana wanakuwa makini
Lakini sio wanaume wote tupo na tabia moja mbona wengine kama sisi ni waaminifu na wala hatuna mpango wakuwachezea
 
Aisee, hivi tumekosa kujiamini mpaka mtu amekukataa na bado ukaendelea kumchunguza. Siujinga huo! Amekukataa kwanjia yeyote, wewe sepa. Unalazimisha kupendwa halafu akikukamua na kukutengenezea sheria ili awe na wewe unaanza kujifanya kidume sasa, wakati tangu mwanzo ulishusha thamani yako na akakubali kuwa na wewe kama msaada tu, yaani anakufanyia favour. Jithamini bwana, mapenzi hayaui mbona watu tumeishi muda mrefu bila mapenzi na hatukufa na mtu akinikataa mara moja unasepa. Sihapa tunaishi na mpenzi sahihi akaja tu. Dunia imebadilika, wanawake wamebadilika sasa wewe jitutufye uonewe huruma uone kama hautapigwa na kitu kizito. Ukikataliwa sepa, tena kwa uongo, kwakweli utakuwa unajenga nyumba kwamsingi wa mchanga bila cement (uongo). Jitambueni!
Kinachonifanya nimn'gan'ganie huyu binti kwanza tangu nianze kumtongoza hakuwa kuniomba hela , pili ni mtu ambaye kila akiniona huwa ananichangamkia sana tatizo lake ni moja tu ambalo mimi mwenyewe nashindwa kumuelewa ni kwanini hataki mawasiliano na mimi hasa kupitia simu ukimpigia hapokei wala sms hajibu lakini kila akiniona ananichangamkia
 
ndio unavyojidanganya
Hapana mkuu hata urafiki unaweza kuupiga chini kama hauna faida na ndio kwangu ilivyo huyu bado nipo naye kwenye stage ya urafiki huko kwenye mahusiano bado ndio nilikuwa najaribu kuwa nae kimahusiano ndio matatizo yakaanza hapo
 
Mapenzi yananichanganya mkuu mpaka nashindwa kuandika vitu mkaelewa ni sameheni nipo kipindi kigumu mkuu ongeza na uelewa wako unirahisishie
Mkuu,mwanaume utakiwi kuwa hivo, usiwe too cheap,set standards zako,

Jifunze kwangu:

Mimi hata nimpende mtu vipi,na ili niendeelee kumpenda ni lazima narudia tena ni lazima aniheshimu.

Sasa tunaanza,kutopokea cm au kukukatia cm ni dharau kubwa ulitakiwa kumwacha on the spot..na kufuta namba yake.

uwa napiga cm mara moja tu,isipopokelewa jua sina namba yako,tena ukiikata ndio kabisa.

Sms natuma moja tuu.,ikiwa sent and delivered baaaasi,nasubili majibu,

Usipojibu ndio baaasi,
Siintertain zarau za aina yoyote ile

Man up,achana na huyo dogo
 
Kinachonifanya nimn'gan'ganie huyu binti kwanza tangu nianze kumtongoza hakuwa kuniomba hela , pili ni mtu ambaye kila akiniona huwa ananichangamkia sana tatizo lake ni moja tu ambalo mimi mwenyewe nashindwa kumuelewa ni kwanini hataki mawasiliano na mimi hasa kupitia simu ukimpigia hapokei wala sms hajibu lakini kila akiniona ananichangamkia
Ndio umng'ang'anie, kwahiyo kichwani mwako unaona hicho kitendo unachokifanya kinakujengea heshima au kinakudharaulisha. Ukishampata ila katanguliza dharau mbele unauhakika utadumu kwenye hayo mahusiano. Yaani uone chumba hiki kinawaka moto ukidharau kwasababu chumba kingine kina matunda na nyama. Mwisho wake siuleule kuwa nyumba nzima itaungua tu. Hebu fikirisha akili achana na mahisia.
 
Nimeshangaa,hiyo ni dharau kubwa,
Sema sisi wengine tuna roho,zetu ujinga wa aina hii,never
 
Mkuu,mwanaume utakiwi kuwa hivo, usiwe too cheap,set standards zako,

Jifunze kwangu:

Mimi hata nimpende mtu vipi,na ili niendeelee kumpenda ni lazima narudia tena ni lazima aniheshimu.

Sasa tunaanza,kutopokea cm au kukukatia cm ni dharau kubwa ulitakiwa kumwacha on the spot..na kufuta namba yake.

uwa napiga cm mara moja tu,isipopokelewa jua sina namba yako,tena ukiikata ndio kabisa.

Sms natuma moja tuu.,ikiwa sent and delivered baaaasi,nasubili majibu,

Usipojibu ndio baaasi,
Siintertain zarau za aina yoyote ile

Man up,achana na huyo dogo
Sio kila jambo ni dharau mkuu huwezi jua labda ana sababu zake za kutokupokea simu zangu maybe ngoja nitamuuliza nilimkosea nini?? Au anachuki na mimi na kwanini hasemi aniweke wazi???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom