Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

dogo soma kwa bidii, ukimaliza kusoma kama hujabahatika kuajiriwa usikate tamaa ingia chaka pambana na mishe nyingine upate pesa, pambana kila siku upate pesa,tafuta pesa, wakati sahihi ukifika utapata mwanamke sahihi utaoa, acha mambo ya kitoto[emoji16]
[emoji120][emoji120][emoji120] Nakazia [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Nami pia nimekuelewa

Mkuu mimi nilijaribu kumchunguza ili kujiridhisha kama ni mke wa mtu kweli lakini sio labda atakuwa na mwanaume mwenye malengo nae ya kuwa mumewe

Na kuhusu kumvua chupi mwanamke, mimi sina mambo hayo wala sikuwahi kushiriki kwenye mambo ya ngono na wala sikumtamanj kimwili na muheshimu sana ndio maana nilipoanza kumtongoza nilimwambia direct kuwa lengo langu ni kumuoa na wala si kumchezea

Lakini suala lake la kutokupokea simu zangu linaniuma sana isitoshe simu kupigia ni kwa lengo la kumjulia hali lakini yeye anakukalia kimya ukimuuliza lengo la kutokupokea simu zangu ni nini? Hajibu?? Why? Anakaa kimya kama hataki mawasiliano na mimi kwa nini asifute namba zangu na kwani anabaki nazo??
Dogo siku hizi mademu wanataka wanaume wauhuni wahuni, mandava mandava sio nice guys km wewe, kwa kuangalia muandiko tu hata vidole vyako vinaongea, you are a home boy for real, usipoangalia watakupiga matukio sana tu be serious.
 
Mimi na uhuni aisee hapana lakini kama ni hivo acha tu nipigwe hayo matukio
 
Nami pia nimekuelewa

Mkuu mimi nilijaribu kumchunguza ili kujiridhisha kama ni mke wa mtu kweli lakini sio labda atakuwa na mwanaume mwenye malengo nae ya kuwa mumewe

Na kuhusu kumvua chupi mwanamke, mimi sina mambo hayo wala sikuwahi kushiriki kwenye mambo ya ngono na wala sikumtamanj kimwili na muheshimu sana ndio maana nilipoanza kumtongoza nilimwambia direct kuwa lengo langu ni kumuoa na wala si kumchezea

Lakini suala lake la kutokupokea simu zangu linaniuma sana isitoshe simu kupigia ni kwa lengo la kumjulia hali lakini yeye anakukalia kimya ukimuuliza lengo la kutokupokea simu zangu ni nini? Hajibu?? Why? Anakaa kimya kama hataki mawasiliano na mimi kwa nini asifute namba zangu na kwani anabaki nazo??
Kufuta ama kutofuta namba zako hayo muachie mwenyewe. Jiangalie wewe kama wewe na ujionee huruma, wacha kulazimisha mawasiliano na mtu asie na muda na wewe utakuja pigwa na kitu nzito shauri zako.
 
Hivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye?? Maana hapa kama nipo njia panda hivi.

Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi, nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mke wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mke wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.

Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.

Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.

Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.

Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
kijana soma achana mapenzi kwanza
 
Kufuta ama kutofuta namba zako hayo muachie mwenyewe. Jiangalie wewe kama wewe na ujionee huruma, wacha kulazimisha mawasiliano na mtu asie na muda na wewe utakuja pigwa na kitu nzito shauri zako.
Suala la mawasiliano mimi nimeshaliacha. Kinachoniuma ni kwanini akiniona ni mtu wakunichangamkia kiasi kwamba utadhani sio huyu unaempigia halafu anakata simu.

Inaniuma sana kama hanipendi angeniambia tu direct nishike hamsini zangu
 
Hivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye?? Maana hapa kama nipo njia panda hivi.

Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi, nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mke wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mke wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.

Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.

Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.

Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.

Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
Ni ushiriina tu
 
soma acha UJINGA.mapenz ya chuo yatakusumbua tu.huna hela,sio handsome utaishia kula kwa macho tu.kwanza ndo kwanza unasoma alaf unamuambia mwenzio utamuoa si utapeli huo?
Jukumu la kusoma tayari nimeshalitekeleza tayari ndio namaliza mwaka huu.

Kuhusu kumuoa ni kweli nina nia ya kumuoa na wala si kumchezea maana pesa ninazo pia nina biashara zangu so pesa sio tatizo kwangu
 
Back
Top Bottom