Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

Hivi hapa kuna mapenzi kweli ama?

Uzi wako hamna mahala katamka anakupenda, wewe unauliza mapenzi ,mapenzi gani hayo sasa?
 
[emoji28][emoji28]Badili mind kwanza ,tatzo umekariri mademu unakutana nao shule au chuo tu
mademu wa huku mtaani ni ngumu sana kumtongoza kwasababu huwezi jua anaishi na nani au ana mume au hana kuliko chuo maana kule mademu ni rahisi kujua kuwa ana mume au hana
 
Uzi wako hamna mahala katamka anakupenda, wewe unauliza mapenzi ,mapenzi gani hayo sasa?
Siyo lazima aseme ananipenda ndio niamini lakini lile vibe lake unapokutana nae kwangu linamaana kubwa sana
 
Siyo lazima aseme ananipenda ndio niamini lakini lile vibe lake unapokutana nae kwangu linamaana kubwa sana
Bro sio kila mwanamke akikuchangamkia anakupenda ,huyo wako kiukweli HAKUPENDI ila anapenda the way unampa attention achana nae atakusumbua hata mkiwa kwenye mahusiano wewe ndio utakua mnyonge kwenye hayo mahusiano yeye atashika remote
 
Jukumu la kusoma tayari nimeshalitekeleza tayari ndio namaliza mwaka huu.

Kuhusu kumuoa ni kweli nina nia ya kumuoa na wala si kumchezea maana pesa ninazo pia nina biashara zangu so pesa sio tatizo kwangu
tafuta mshenga.peleka barua kwao.
 
Bro sio kila mwanamke akikuchangamkia anakupenda ,huyo wako kiukweli HAKUPENDI ila anapenda the way unampa attention achana nae atakusumbua hata mkiwa kwenye mahusiano wewe ndio utakua mnyonge kwenye hayo mahusiano yeye atashika remote
Sawa kaka mimi nimeamua kukubali matokeo kuwa hanipendi ngoja niendelee na hamsini zangu
 
tafuta mshenga.peleka barua kwao.
Hivi unaweza kupeleka barua kwao bila idhini yake??? Akikataa je mbele ya wazazi wangu na wake si nitakuwa nimetia aibu [emoji23][emoji23] mbona tunaruka processes za mahusiano. Urafiki-uchumba-then ndoa
 
ndo maana wewe nakwambia unataka kumtapeli.hzo hatua kaziweka nani mpaka iwe sheria?yeye ataamini vp kama kweli unataka kumuoa na sio kumvua nguo na kumchezea?FANYA VITENDO
 
Mume wa mtu tena?

Okay tuchukulie ulimaanisha mke wa mtu, sasa ulimtongoza akakukataa na akakupa sababu yeye ni mke wa mtu na kusisitiza msimamo wake kakata mawasiliano na wewe inakuwaje unauliza kama Kuna mapenzi hapo?

We vipi wewe?
😂😂 anataka apige chini mtu ambae hata hajawa nae kwenye mahusiano
 
Kijana unakwama wapi? Huyo demu ameshakubali we kaza tuu ameshakubali kabisa! Usiache kumtafuta physically hata kumtafutia na zawadi kumpa jiko lako kabisa hilo!
 
Back
Top Bottom