Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,734
- 3,310
- Thread starter
- #101
Najua ni dharau!!! But kumhukumu mtu bila kujua sababu za kukudharau ni zipi??? Naweza kumhoji wapi nina mapungufu au wapi nilimkwaza labda naweza kujirekebisha lakini sio kukukalia kimya that's why naumia.Ndio umng'ang'anie, kwahiyo kichwani mwako unaona hicho kitendo unachokifanya kinakujengea heshima au kinakudharaulisha. Ukishampata ila katanguliza dharau mbele unauhakika utadumu kwenye hayo mahusiano. Yaani uone chumba hiki kinawaka moto ukidharau kwasababu chumba kingine kina matunda na nyama. Mwisho wake siuleule kuwa nyumba nzima itaungua tu. Hebu fikirisha akili achana na mahisia.
Pesa na vitu vidogovidogo namhonga na kila nikikutana naye huwa ananionyeshea ushirikiano wa kuwa na mimi shida ni mawasiliano