Hivi hakuna wasaidizi?

Hivi hakuna wasaidizi?

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Ni muda mfupi tu toka niingie humu Jf, lakin sasa nashangaa kwa zile kauli za "mkuu" watu wanavyoitana humu.
Sasa nikawa najiuliza tu kwamba humu ndani kama wote ni wakuu je wasaidizi wao wako wapi?
Na ni vp usipoanza na hilo jina "mkuu" inakuwaje....ndo kukutana na hizo ban au ni vp....nisaidieni kwa hilo jaman
 
Kwani ww unakereka nn watu wakiitana "mkuu"?au huo msuba umekulevya?
 
Mkuu maswali mengine ya ajabu unauliza....
 
Sasa mkuu we unataka ukuu usaidizi?
 
Ni muda mfupi tu toka niingie humu Jf, lakin sasa nashangaa kwa zile kauli za "mkuu" watu wanavyoitana humu.
Sasa nikawa najiuliza tu kwamba humu ndani kama wote ni wakuu je wasaidizi wao wako wapi?
Na ni vp usipoanza na hilo jina "mkuu" inakuwaje....ndo kukutana na hizo ban au ni vp....nisaidieni kwa hilo jaman

Msaidizi sisi ndo wakuu wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom