Una miaka mingapi?Hahahhahahaa! Sawa kiongozi, lkn kwakuwz sijui ni muda gani nitapa hizo hela na wala sijui ni lini anaweza akatokea mwenye hela na kumtamani, ningependa kujua sasa hv ili niwahi
Una miaka mingapi?Hahahhahahaa! Sawa kiongozi, lkn kwakuwz sijui ni muda gani nitapa hizo hela na wala sijui ni lini anaweza akatokea mwenye hela na kumtamani, ningependa kujua sasa hv ili niwahi
Unamaanisha ningeendelea kumuangalia tu kwanza?Ulikuwa na haraka mno
Ya kutosha kuitwa baba, kama ningewahi kama kule vijijiniUna miaka mingapi?
Ungrendelea kufanya ulichokuwa unafanyaUnamaanisha ningeendelea kumuangalia tu kwanza?
Hapo sasa!!Dem anadeti na ww lakini bado hajakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah, narekebishaje hili?!! Usinishangae, she's so beautiful
Kumbe yanatukuta wengi, ni hatari sana! Tofauti yangu na wewe ni kuwa mi najikuta namtamani kweliStory ya mtoa mada inafanana na ya kwangu kuanzia introduction hadi kwenye point namba 1 & 2, inaonekana mtoa mada anamfukuzia binti wa sekondari mwenye aibu, hlf tabia za binti wa mtoa mada na binti nliemfukuzia mm kama zinafanana
Kuna binti mmoja jirani yangu, nlikutana naye njiani, Sikuwahi mtongoza ila tu nlimgea biskuti nikimsihi asimwambie mtu, binti alielewa nia yangu, baada ya hapo ilikuwa nkikutana na rafiki zake wa kike, lazma rafiki zake wa kike waniangalie, wamwangalie, hlf wacheke..hee ikafika mahala binti akiniona kwa mbali anabadilisha njia, anajifunika uso na sweta, siku ingine akikutana na mm anakimbia kabisa , yani ni mtoto kweli, ana tabia za kitoto haswa, mm mwenyewe nikajisemea duh kweli Nlipotea njia
Huyo binti approx nimemzidi miaka 12, Yuko form 3, kama anafikiria mm ntajichosha kumfuatilia, atasubiri sana, am too old for that sh*t of chasing women..nina vipaumbele vingine bora zaidi..
NIMEONA Evelyn Salt luckyline BADILI TABIA
Sawa!Maswali yako hayana majibu toka hapa. Nenda kamuulize mhusika badala yakutupotezea muda. Hakuna cha kujadili hapa wala faida
Kwakuwa 'mnaelewana na mnainjoi', basi sawa endeleeni🤣🤣🤣Kubwa na nisu
'Shikamoo', huku ananiangalia usoni vizuri tu.Huwa anakusalimiaje?
Maelezo yako yanaonesha hujiamini, unamsumbua dogo watu wanakucheka.
SawaMwambie huyo dogo asipoweka tamaa zake na nyege zake mfukoni basi ataishia jela. Anataka ufanye sex na mtoto?
Ha haa haa umekuja kwa wakongwe long time kitambo........!Nilikaona kameanzisha tabia ya kuniangaliaangalia, nami nikageuka kuwa mwangaliaji pia.
Nikiwa mgahawani siku moja kakapita nikakakaribisha chai, kakachukua vitafunwa tu kakaenda.....ile kutokataa ikanisogeza kidogo kihisia (km unavyojua tena wanaume).
Siku nyingine nikakutana nacho na nikamwambia anione baadae, kakaitikia....tena kwakuwa kulikuwa na watu karibu, kakaitikia kidogo kidogo na kwa ufundi fulani ili wasisikie.
HAKUTOKEA! nasema hivi, HAKUTOKEA!!
Kwa jinsi ninavyojiheshimu hapa mtaani na kuheshimika, na pia kutokana na asili ya soni niliyonayo, nimeshindwa kabisa kumvaa na nimetafsiri km hiyo ni 'HAPANA' yake. Na mimi kiukweli huwa naheshimu sana 'hapana' za kina dada......kupigiwa kelele za 'nimekwambia sikutaki huelewi.....jitu zima hovyoooo?!!!' mpaka majirani wanishangae ni kitu sikiwezi kabisa.
Kilichonifanya niulize swali hilo katika title,
1. Siku hizi amejenga tabia zisizoeleweka; anaweza kubadili njia tukionana kwa mbali (ili tusikutane), lakini hunisalimia kwa kunistua nikiwa sijamuona (na hunisalimia kwa confidence ya hali ya juu).......hii ananifanya nishindwe kumuelewa anatakaje haswa! Hata tukiwa kwenye kusanyiko, akiona tumekutanisha macho basi haraka huhama eneo hilo ili nikiangalia tena nisimuone....hili linanifanya nijisikie vibaya na kujaribu kwa kila namna kutoangalia tu upande anaokuwa yeye.
2. Kila ninapoongea nae, basi siku hiyo lazima kuwe na vicheko vya kina dada sehemu fulani ninayopita.....yaani siku hiyo nikipita hapo (na ni lazima nipite) lazima kuwe na vicheko vya haja ambavyoo, kwa kutumia uzoefu wangu, najua kabisa kuwa vinanielekea mimi.
3. Nimeshangaa juzi kati kaja kuniaga safari yake (hili lilinishangaza kidogo), nilimtakia kila la kheri na kumuongezea kanauli kidogo.....hakuikataa, aliipokea na kushukuru. Aliporudi alikuja kunipa taarifa na kuendelea na maisha yake.
4. Kukiwa na kazi ya jamii (pamoja), maana tunaishi kijiji kimoja, basi atafanya kila namna awe katika kundi ambalo nipo.....hili nimelichunguza vya kutosha na lipo hivyo.
Wazoefu wa hivi vibinti hebu toeni uzoefu wenu katika hili hapo......kuna nini?!!
Hivi karibuni atakuwa 19Ana umri gani?
Isije ikawa ni katoto kapo kwenye balehe
Nitashukuru sana kiongozi!Ha haa haa umekuja kwa wakongwe long time kitambo........!
sikuiona jana hii ningekujibu papo kwa papo na kutoa miongozo ya kuenenda na jambo hili!!!
anyway not bad at all....
Nitakuja na majibu murua kabisa badae.....
ngoja nimalize kuichakata kitimoto na black lebel hapa
😳😳😳 kweli mkuu?!!Trust me hako kajanja sana hata bikra hakana. Katoto kenye bikra hakawezi kukuchekea hivyo.
Kama wewe ni mtu mzima unaa maisha yako usiangaike na kukaonja.
Ila kama wewe una below 25 embu kambie kasikuzoee uone jibu lake😂
Mbinu mkuu! Mbinu......wengine tumetokea kwenye ulokole, mbinu 99 hatukuzipitiaaNingekua nimesha katafuna kitambo aisee km ningekua mm
🤣🤣🤣🤣Mkuu hao wanakojoaga mkojo wa kweli atakunukisha mkojo bure
Sayaba aliz8di na kujitakia, unanyang'anyaje vya watu?!!Unamwita mtoto alafu nini eti? Miaka 30 unaijua muulize sayaba.
Ya kutosha kuitwa baba, binti turns 19 the coming monthUna miaka mingapi mkuu?
Na kabinti kana miaka mingapi?