Hivi hadi siku hizi kuna watu wanapiga wake zao?

Uliyosema inawezekana ni kweli kabisa. Wakurya wanapenda sana kuwadhalilisha wake zao. Miaka mingi kidogo niliishi Temeke Mtaa wa Uzuri kwenye nyumba ya vyumba sita na mimi nikiwa na chumba kimojawapo kati ya hivyo. Kijana moja wa Kikurya alikuwa anampiga sana mke wake halafu anamvua nguo zote kabisa na kumtupa nje ya chumba chake na kufunga mlango kwa ndani. Nilikuwa sijawahi kuona ukatili wa ain hiyo maishani mwangu.

We naye sasa huyu mkurya mmoja ndiyo imeshakuwa wakurya??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:shock::shock::shock::shock:
 
We naye sasa huyu mkurya mmoja ndiyo imeshakuwa wakurya??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:shock::shock::shock::shock:

Kwa kweli nimeshaona wawili. mmoja pale Temeke NHC opposite na Tameco (Tololi). Lakini kwa hali kwa hali yeyote ile nilichoona ni tabia mbaya za kupindukia.
 
yataka moyo sio kidogo, mie nilienda hosp nikamsahau kabisa kwa jinsi alivyovimbiana, ilibidi nimtafute shem wangu nimuulize kulikoni, kwa maelezo yake rafiki yangu alimfanyia ukorofi uliopitiliza, sikupenda alivyomdunda na sikupenda kitu rafiki yangu alichomfanyia, hakuwahi kwenda hosp, mdada alitoka hosp akaenda kwao akidhani mwanaume atakuja kumchukua, hahahaha inakaribia kukatika mwezi nikamwambia wewe shtukaaaa, hahaha alipaki kilicho chake akarudi kwa mr wake, sasa hivi mstaarabu kuliko maelezo, basi tukitanianaga mr anakwambiaga nashukuru hata nilikuonjesha kidogo mke wangu, si unaona mapenzi yetu yalivyostawi,hahhahaha, MJ1 my dearest wacha tu, huku kwema majukumu majukumu tu, khaaa kweli mfululizo mae wangu.

Hahhaahaah nyamayao kama kule kulikuwa kuonjeshwa huyo shost wako akae vema kwenye kigoda siku akilishwa kabisa hatoamka milele kha! Nway hii ndo anayoisemea Mjasiria kuwa once in a while hahahha

Pole mpenzi bora uzima mamii hayo majukumu ndio uhai wetu ati.
 
Kwa hiyo mwalimu ishu kumbe sio kibao bali ni kile mtu alichoaminishwa kuhusu kibao au sio? Sasa kama hivi ndivyo kwa nini wewe unadhani kwamba kumuaminisha mtu kuwa kupigwa kibao ni tatizo ndiyo sahihi na siyo the other way round?

Kumuaminisha mtu kupigwa kibao si tatizo ni kupingana na kanuni za msingi za kibinaadamu kwa hiyo haiwezi kuwa sahihi.

Binaadamu mwili wake haupendelei maumivu. Kwa hiyo unapokwenda kinyume na hapo ni katika kuvunja misingi ya kanuni za msingi za ubinaadamu wake.
 
Mimi ukinipiga ndio hiyo itakuwa mara yako ya mwisho kugusa ngozi yangu.

Nakufikisha polisi na ndio utakuwa mwisho wetu

Kupigana haikubaliki hata kidogo. Kama kupigwa ningepigwa utotoni, haikuwahi kutokea hata mara moja.

Sasa kama njia za amani tumeshindwa kufikiana muafaka, na tuachane kwa amani, haiwezi kutokea sababu ya kuhalalisha kupigwa. Ever

asante sana dada. nataka kusikia maneno kama haya kwa wakina mama na wadada na wanawake wote wa kitanzania. Laiti kama haya maneno yangekuwa yanawawakilisha wote.
nimepnda sana msimamo wako ..and be blessed
 
Kwa kweli nimeshaona wawili. mmoja pale Temeke NHC opposite na Tameco (Tololi). Lakini kwa hali kwa hali yeyote ile nilichoona ni tabia mbaya za kupindukia.
Kwahiyo Wanawake wa kihaya wote malaya na wachaga wote majambazi na watu wa pwani wote kazi yao kucheza ngoma na hawajasoma!!?? hizi ni akili mgando.
 
Kumuaminisha mtu kupigwa kibao si tatizo ni kupingana na kanuni za msingi za kibinaadamu kwa hiyo haiwezi kuwa sahihi.

Binaadamu mwili wake haupendelei maumivu. Kwa hiyo unapokwenda kinyume na hapo ni katika kuvunja misingi ya kanuni za msingi za ubinaadamu wake.

Hizi kanuni ni zipi tena, kaziweka nani na kwa mamlaka gani? Unaona G ndio maana nikasema tatizo hatuna common point of reference kwa sababu hizo unazoita kanuni kuna wengine watakwambia hawazikubali utasemaje?
 
Unaona G. Exactly my point........si kila mwanamke ni lazima apigwe. Kwa mfano tuna wewe hapa mwalimu wetu kwako haikubaliki kabisa au sio. Mimi nachopinga ni hii ya kulazimisha kuwa inatakiwa iwe hivyo hivyo kwa kila mwanamke. Trust me G kuna wanawake bila kichapo hamuelewani na hii ni from xp.......kwa hiyo nyie madada wa JF mnaolalama hapa kama nyie hamkubaliani na kipigo, thats fine coz kuna type yenu pia lakini msithubutu kudhani kuwa dunia ina wanawake wa aina yenu peke yake. Kwa mfano mimi nilishawahi kuwa na wale wa kupewa kichapo, wale wa kupewa maneno matamu tu na wakaelewa na wale wengine hadi uwe mkali ndio waelewe unasema kitu gani.

Haya nawasubiri hapa mtupie mawe.

wewe unaongelea exceptional kitu ambacho ni wanawake labda tuseme asilimia sifuri kabisa. ila hakuan mwanamke anayependa kupigwa.
 
wewe unaongelea exceptional kitu ambacho ni wanawake labda tuseme asilimia sifuri kabisa. ila hakuan mwanamke anayependa kupigwa.hayo ni mawazo tu kuwa ukimpiga atakuheshimu ila wewe mwenyewe ukijiheshimu na kuwa serious na familia yako lazima heshima ijengeke automatically ila sio kwa kunyoosha mkono
 
wewe unaongelea exceptional kitu ambacho ni wanawake labda tuseme asilimia sifuri kabisa. ila hakuan mwanamke anayependa kupigwa.

Kwa hiyo wewe ndiyo wanawake wote hapa duniani? Hivi kwanza wewe ni ke mkuu (kila siku huwa nadhani wewe ni me dah!) maana angalau kama ni wewe mwanamke unaweza ukaruhusiwa kuwasemea wanawake wote
 
Kwa nini mwanamke asipigwe? au unadhani wanawake wote wako sawa na wanaringana? mbona wanaume wanapigwa na wake zao?

Mimi si miongoni mwa wapigaji ila ukinichanganya siku ni lazima ule kisago cha uhakika ili uelewe kabisa kwamba to be a Gentleman siyo ujinga.

Hata usiposema inaonekana wewe ni mpigaji! Kwanini umpige mtu? Aliyekuambia kupiga ndio kufundisha nani? Hata hao wanawake wenye kupiga waume zao ni wendawazimu. Kama kuna jambo mtu kakosea mweleze sio kumpiga.
 
Kuna kitu ambacho kaka Matola alikuwa anakiwakilisha katika posts zake ambacho kwa bahati mbaya hakijawezakuchipuka kwa uwazi vizuri. Alipozungumzia wanawake wa kitaa, mwanamke anayeacha mtoto na kukimbilia mdundiko na Mjasiria pia akakigusia katika points zake. Hiki kitu nakiona pia kwenye hii ya Haki za binadamu.

Inawezekana kuwa bado haijafanyika assignment ya kutosha ambayo ilipaswa kufanyika kabla ya kuanza kuziimplement hizo sheria za kulinda haki za binaadamu zikiwemo za kupiga mwanamke. Kwa jinsi ninavyojaribu kuelewa wanachokiwakilisha hapa Mjasiria na Matola ninahisi kuwa hizi sentensi za wanawake wanaofurahia kipigo, wanawake wasokwenda bila kipigo inaashiria ni jinsi gani hii kitu haijaeleweka ipasavyo na pengine inaeleweka vizuri (na kukubalika) zaidi na watu wa tabaka flani flani (ingawa hapa Matola ametumia mahali pa kuishi mf. Masaki, Oysterbay e.t.c) ilhal tabaka kubwa ambalo ndio wahanga wakubwa wa majanga haya hawaelewi kitu (au wanaelewa ila hawajui namna ya kukabiliana nalo).
 
Vipi kuhusu mtoto anayelala kitanda kimoja na mama yake na anapigwa mashine na mwanaume mwingine huku mtoto anajuwa huyu si Baba yake na miguno yote anaisikia?
Hapa unaonaje?

are you serious??
 
Matola sasa unatukosea huwezisema alochangia ni mvivu wa kufikiri. Hapa kila mtu anaweka mtazamo wake juu ya kitu flani ambacho anakiamini yeye, so huwezimwita mvivu wa kufikiri kwa vile tu anayo imani au msimamo wake bwana!.
tatizo yey hayupo direct anaandika kimafumbo sasa nani ana muda huo wa kuanza kufumbua fumbo. weka kitu direct kila mtu aelewe. angalia wengi tumeelewa kitu ambacho hukumaanisha.
 
Kwa hiyo wewe ndiyo wanawake wote hapa duniani? Hivi kwanza wewe ni ke mkuu (kila siku huwa nadhani wewe ni me dah!) maana angalau kama ni wewe mwanamke unaweza ukaruhusiwa kuwasemea wanawake wote
naona hata tusiende mbali kushusiana heshima ..mimi nitatetea wanawake ambao wengi wao hawapendi kupigwa katika ndoa zao. ila ambaye anapenda kupigwa ..inshallah apigwe tu ...mambo ya mimi ni ke ama me sio issue mimi naweza kuwa kitu chochote hapa so wewe chukua hoja na ujumbe.
 
Juzi nimemcharaza makofi mke wangu kwasababu ni muongo, eti anaongopa kwamba mimi sijampiga mda mrefu hivyo simpendi, ilihali ni wiki moja tu iliyopita nilimchapa vibao sitaki uongo mimi.
 
Kwahiyo Wanawake wa kihaya wote malaya na wachaga wote majambazi na watu wa pwani wote kazi yao kucheza ngoma na hawajasoma!!?? hizi ni akili mgando.

Hayo mengine umeyasema wewe. Kwani nawe una mawazo mgando? Au ulimsikia nani akisema hayo uliyosema?

Inawezekana kabisa mimi nina akili mgando. Lakini sijawahi kuona niliyoyaona katika maisha yangu na sitegemei kuyaona tena. Namkumbuka sana yule dada alivyokateseka mpaka anishia kujinyonga kwani wazazi wake walikataa aachane na mumewe kwani walikuwa hawana ng'ombe za kurudisha. VERY PRIMITIVE!!!
 
Heee, kumbe kupiga Mangumi na mateke?

Mie nilifikiri Mke akileta za kuleta, unampa KIPIGO kikali sana kuanzia Bafuni, Sitting room na kumalia kwenye uwanja wa fundi Seremala. Unampa ligwaride la Afande Magwega wa Chiguru hadi akitoka hapo anakuambia "I'm done".

Ukiona mtu anatumia Mangumi, vichwa nk basi huyo ni KIBAMIA. Mshauri akanunue Mkuyati ili kushusha kipigo. Kuna dada alishauri hata Konyagi na Supu ya Pweza. Si vibaya ukimpitisha Uvinza kidogo na kumpeleka kwa Wahaya kwenye gulio la Katerero ili akanunua Matoke na Senene. Utaona Heshima imepanda mara moja.
 
Back
Top Bottom